Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hatumchagui #SSH eti kwa vile ni mwanamke, au kwa huruma eti amalizie muda wake...hizi ni siasa muflisi.
Niitamchagua #SSH kwa kuwa ameonesha ukomavu wa kisiasa, ameleta mabadiliko, ameifungua nchi (awamu ya 5 nchi ilifungwa) na zaidi ameonesha utashi wa kisiasa!
 
This shithole must go.the founder of unknown people who kill innocent people criticizing his unnecessary action like kizimkazi festival,selling our all ports to his grandfather living at Dubai and mineral extraction within national park
 
FB_IMG_17257887553301646.jpg

S'candy akiwa mzigoni. Still ni Kada wa CCM.
 
Wapendwa wa jf mimi kama mie 2025 nitampa kura yangu Mungu akipenda MAMA SAMIA SULUHU HASSAN sijalazimishwa wlaa kujishurutishwa ni kwa hiyari yangu mwenyewe ila kwa ubunge nitampa ACT WAZALENDO .

KWANINI
Lazima tumsupport mama yetu amalizie miaka yake na amejitahidi sana kwa kuiongoza nchi kama mwanamke wa kwanza east afrika kuongoza mwanamke.

Sijui wewe kwangu mie imeenda hiyoo. Weekend njema


View: https://youtu.be/ntPpe8A_iYo?si=uUWT5FcfpdzdnbyX

🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️ hyo sku lala tu kwa afya zaid umpzshe mwli
 
Haya ni maono sio siasa wala mawazo. Kama hutayaelewa hayakuhusu

Mama kupongeza wauaji kwa kujua au kutokujua inaleta nuksi. Matukio ya ajabu ajabu yataendelea mpaka haki itendeke. Na vile ambavyo vinapuuzwa ndiyo vitakuondoa kama mtangulia wako usikobadilika. Omba Mungu anawishe mikono yako ambayo kwa sasa spirit yako inaonekana mikono ina damu.

Kiburi na kujisahau ndiyo kulimwondoa mwenzako ambaye aliwabishia mpaka watumishi wa mungu sasa wewe unafanya hivyo hivyo.

Mungu amekupa siku 90 za kujirekebisha bila kutends haki utakuwa na wakati mgumu sana na siku 45 toka leo utaanza kupata matatizo ya afya ni kwasababu ya haya mambo.

Kuna afisa wa polisi mrefu na usalama ambaye ni mfupi mwenye miwani usipo watoa hao hicho kichomi kwenye mbavu upande wa kushoto hakitaisha. Mungu anajaribu kuokoa watu wake. Waziri mkuu na spika watakuwa kama mazezeta hawataweza kukusaidia.

Kuna bill ni lazima uweke signatures ya katiba na haki bila hivyo utapata shida.

Kuna mtu wa tatu wa cheo TRC ndiyo anahujumu huduma za treni ya umeme.

Genge lote la Kikwetwe, Kinana, Makamba, Nape na Ridhiwani hawako na wewe wanautaka Urais kati yao mmoja ana mikono ya damu lakini sijaonyeshwa sura.

Mkoa mmoja kanda ya ziwa umejaa viongozi wauaji na watekaji sijaonyeshwa ni mkoa gani.

Mradi ya sirisiri wa KIA una damu chafu achana nao.

Kuna kijana ambaye nimeonyeshwa ni wa miaka 20’s kutoka Arumeru alipotea, kuteshwa na kuuliwa damu yake ndiyo inakulilia na ili nuksi yake isije baada ya siku 45 ni lazima atambuliwe na wahusika washikwe.

Kuna sehemu bagamoyo ndiyo watu wanaenda kutupwa usiku huko baharini.

Kuna mtu anaitwa Tanzo ndiyo mtupaji mkubwa na maelezo tanatoka usalama wa taifa kwa afisa anaye vaa miwani. Gari yake huyo boss namba inaishia 50.

Mtu pekee ambaye kwasasa hujamuomba mawazo unatakiwa umuombe haraka ni VP Mpango yeye pekee ndiye atakupa ukweli na fuata ushauri wake wote. Lukuvi atakuja kujipendekeza usimsikilize.
 
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Kwanini Mama Abdul ana force kukalia kiti cha rais

Anajua kabisa kuwa watu hawampendi lakin bado anafoce

Kuna gharama gan akiamua tu akae pemben amuachie nchi dk mpango

Inaumiza huyu mama huyu ila bas tu

Nchi imemushinda kabisa huyu mama

Maisha yamekuwa magumu sana, vitu vimepanda bei yeye hajui hilo, kipande cha sabuni cha mia mbili saiz kinauzwa mia saba nauli ya elf arobain na tano mwanza dar saiz elf sabin na tano huyu mama yeye hajui katuletea maumivu makali sana sisi raia

Ukienda ofisi za umma unatazamwa tu sanamu ya ndama ya wana wa Israel

Tunateseka jaman

LONDON BOY
 
Back
Top Bottom