Benjamin Leonard
New Member
- Nov 28, 2015
- 3
- 0
Kuna Afisa Wa TRA yupo tawi la mwenge anaitwa MHINA yeye kawakamara Wachina wote wanaomiliki viwanda na biashara kubwa huwasaidia kufanya Magumashi amekuwa Tajiri kuliko huyo Habibu wanayemtangaza sana.
Mwingine Masamaki wa TRA aliesimamishwa kazi juzi, huyo hapo Pugu ana nyumba zaidi ya 100.. Kwenye nyumba tatu moja ni ya Masamaki
Habibu Mponezya 1997-2015 ni miongoni mwa mabilionea Tanzania, hapana huyu lazima atakuwa na hela za Watanzania
Kuna Afisa wa TRA yupo Tawi la Mwege Dar anaitwa Mhina ana nyumba kibao Dodoma zikiwemo Hotel, Tanga na Dsm ana nyumba Utitiri hao wanaowatangaza ni cha mtoto hawana mali, sasa hivi Mhina kakimbilia kijijini kwao Tanga kufanya manuva yupo busy kwa Sangoma akituliza upepo wa Magufuli.
Kama kweli Rais anatumbua majipu nilazuma atumbue kwa haki kila ambae jipu lake tayari limekwiza lazima alitumbue wakiwemo wote hawa.
kilichobaki sasa ni kuchongeana tu kudadadeki mana hakuna namna.safi sana mzee wa Lumumba unaejielewa.
Inatia moyo waliokuwa wakimpinga magufuli sasa wapo mstari wambele kumkubali ....
Hapa kazi tu
Huku Arusha huyu Meneja wa TANESCO anatakiwa apewe kila kilicho chake aondoke anawatesa wananchi sana