Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Swala la msingi ni mtumbua majipu aende tu maana mwenyewe pia kasoma kwa hivo atatumbua kisomi zaidi na hamtaamini.
 
Mbeya hatuna umeme , wakati miaka ya
2014 tulikuwa tunapata umeme kutoka
KIWIRA COLL MINE sasa hatupati Umeme
wakati Mgodi upo na Makaa yapo ??
 
Ndiyo mkuu jipu lazima nitumbuliwe maana ukiliacha litaumiza mwili wote
Rais nenda UDSM kunamajipu mengi sana
Fanya hivyo ili wakalabati na majengo maana yanatishaaaaaa
 
...aende kufukuza maprofesa wote tuanze kusomesha wapya.
 
Anaweza mbona kutumbua kisomi akiwa waziri wa ujenzi Ma-engineer na makandarasi aliwaumbua laivu kisomi barabarani "hamkusoma differentiation na integration hadi hamuoni hii barabara imepinda?!"
 
Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi. Yanayoendelea sasa nchini kwetu ni sawa na njia za mkato za kunyanyua uchumi alizokuwa anatumia Dr IDDI AMIN DADA wa Uganda
usishutuke kesho ukasikia wahindi na wapemba wanaandamwa. Kila la heri
 
Naona polepole unahama kambi kutoka uliko hamia unarudi fasta hahahaha
 
Maoni yafuatayo nimeyadokoa kwenye thrd nyingine, kama wanavyotangazwa kwa utajili wa kutatanisha. Wengine wanatetewa kwamba wanafanya biashara halali au wanatumia mishahara yao. Nina hakika, kila atakayeulizwa atasema mali amaeipata kutokana na biashara.

Ombi langu kwa muheshimiwa Magufuli na waziri mkuu Majaliwa, watu hawa waulizeni na yeyote atakaye itaja biashara kama chanzo cha mapato yake, basi tumieni mtindo wa Jerry Rawlings. Angalieni ulipaji wao wa kodi hapo hapo TRA walipo ulikuwa ni wa aina gani.

Kama kweli mtu ana nyumba 100, anazoweza kuwa amejenga kwa miaka labda 15 ya biashara zake, basi ina maana ana kipato cha kuweza kulipa kodi ya zaidi ya millioni 100 kila mwaka. Kwa kuamini kwa kuamini kwamba alijenga kwa kutumia 60% ya faida yake na takriban 20% alilipa kodi na 20% ikibaki kukuza mtaji.

Je, kodi walilipa? kama hawakulipa walipe halafu watozwe faini. Kama hawana biashara, waelekezwe segelea.

Kuna Afisa Wa TRA yupo tawi la mwenge anaitwa MHINA yeye kawakamara Wachina wote wanaomiliki viwanda na biashara kubwa huwasaidia kufanya Magumashi amekuwa Tajiri kuliko huyo Habibu wanayemtangaza sana.

Mwingine Masamaki wa TRA aliesimamishwa kazi juzi, huyo hapo Pugu ana nyumba zaidi ya 100.. Kwenye nyumba tatu moja ni ya Masamaki

Habibu Mponezya 1997-2015 ni miongoni mwa mabilionea Tanzania, hapana huyu lazima atakuwa na hela za Watanzania

Kuna Afisa wa TRA yupo Tawi la Mwege Dar anaitwa Mhina ana nyumba kibao Dodoma zikiwemo Hotel, Tanga na Dsm ana nyumba Utitiri hao wanaowatangaza ni cha mtoto hawana mali, sasa hivi Mhina kakimbilia kijijini kwao Tanga kufanya manuva yupo busy kwa Sangoma akituliza upepo wa Magufuli.

Kama kweli Rais anatumbua majipu nilazuma atumbue kwa haki kila ambae jipu lake tayari limekwiza lazima alitumbue wakiwemo wote hawa.
 
kilichobaki sasa ni kuchongeana tu kudadadeki mana hakuna namna.safi sana mzee wa Lumumba unaejielewa.

Hata na mimi nimemfahamu vinginevyo akisena Magufuli usiende UDSM halafu anataja ujinga uliopo kwa wasomi anamaana uondoshwe mana kama waliosoma ndio hao tutabaki?
 
Inatia moyo waliokuwa wakimpinga magufuli sasa wapo mstari wambele kumkubali ....

Hapa kazi tu

Na wale waliokuwa wanamkubali wanaisoma namba waliyoiandika,hapa ni kama ule wimbo wa Bonge la Nyau!
 
Mawazo mengi ya wadau ni mazuri, nategemea kuwa asilimia kubwa kati ya haya yatafanyiwa kazi.
 
tunaomba na ss wakristu uturuhusu tuuze sembe angalau mwaka mmoja kama yule wakwao alivyo waachia miaka yote
 
Huku Arusha huyu Meneja wa TANESCO anatakiwa apewe kila kilicho chake aondoke anawatesa wananchi sana

Huyu wa Arusha anatakiwa nae achunguzwe vizuri maana haweZi kufanya dhambi kubwa hivi bila sababu
 
Mh Rais kwenye uingizaji wa mafuta ya vyombo vya moto pale Bandarini pia kuna uozo mkubwa uchunguzi wa kina ufanyike.
Baadaye ntatolea ufafanuzi pia jinsi wamiliki wa mashule wanavyopitisha vifaa vya ujenzi pale Bandarini bila kutozwa kodi kwa madai kwamba wanajenga shule kumbe wana ni wamiliki wa mahardware makubwa mijini kwa ajili ya biashara tu.
 
Hizo kazi ndio za kufanya na mawaziri yeye anakuwa kama refa. Cha kushangaza ccm wanampongeza kingu hizo jitihada zote wamejinyamazia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom