Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ni kweli aisee.., hawa jamaa wameteka soko lote Kariakoo.., hivi wanalipa kodi kweli?!
 
sijaona kampuni ya kisela kama hii, nitapita brela kuangalia makao makuu yake kama si msoga
 
Dah raha naamin hawez kulewa sifa huu mwendo mpaka yesu arud
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... nimecheka hadi ya kesho
 
Taa ya Nesco tuuu. Awaangalie na kuwabaini wale wote wanaofungulia maji Mtera ili ikauke wapate dili la kununua mafuta mazito. Aangalie pia pale TANAPA. Naomba tu, asiende kwa alfabeti. Mpaka awakute hawa, tutakuwa tumekwisha kufa na kuisha.
Kuna yule Mtalii aliyekuwa anaenda USA na warembo lukuki ati kuutangaza utalii wa Tz. Huyo, Magufuli, ukimrudishia uwaziri, tumekwisha. Ni fundi sana wa kuwachonge wenzake iliaonekane mchapa kazi. Si lolote wala chochote
 

Naungana na hoja ya mdau Fransis Da Don #12 , kuwa magari ya Transit yote yatumie rangi moja ili kudhibiti hilo, lakini namimi kwa kuongezea nadhani hata hayo ya transit nayo yalipie ushuru kama wa uingizaji wa mafuta Tanzania, kwa maana kwamba Tanzania inazisaidia nchi husika kukusanya kodi za uingizaji mafuta nchini mwao!

Kwahiyo Tanzania itazilipa hizo nchi kodi iliyowasidia kukusanya! Ikiwa Tanzania imekusanya Zaidi kuliko kiasi ambacho nchi husika inatoza, basi Mwingizaji wa hayo mafuta ataruidhiwa bal na nchi yake!
 
Ogopa magufuli asiwawaze sekunde tu utaona watu vichwa chini? Nataman mamlaka husika iitazame hospital ya wilaya ya bariadi haina jokofu la kihifazia maiti
 
Inahamasisha na kuvutia. Ni kwa wale tu waipendayo kweli na haki. Mungu amsaidie na kumlinda.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…