Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Sasa wanakwepaje hapo?
Dadavua tupige ile3%
Dadavua tupige ile3%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye mafuta ndiyo balaa kubwa zaidi.
Magufuli akiwafungia kazi huko, nina uhakika vituo vingi vya mafuta mitaani na kwenye barabara kubwa vitajifunga vyenyewe.
Kuna mchezo mchafu sana. Mafuta yanatolewa kama yapo transit lakini yanaishia kwenye vituo vyetu. Sijui hili watalifanyia akili gani. Kama kuna njia ya kutenganisha mafuta yakutumika Tanzania na yale ya nchi za jirani ingekuwa jambo muafaka kabisa.
Kituo cha mafuta ya transit kiwe peke yake na mbali ya kituo cha mafuta ya Bongo. Sina uhakika na namna ya kutekeleza hilo
Uko sawa mnoooooo.Magufuri saafiiiiiiiiiiiii!!!!.
Patamu hapo ila wacha movie indelee tanesco jaman msiombe magufuli akawa mgeni wa ghafula
Nina imani hata Shillingi 100 bado haija ingia ndani ya hazina (cash box) !!!mpaka saa hii kinachoendelea ni mazingaumbwe tu......hata mkwere aliingia hivyo hivyo........hakuna jipya hapa.......
Nina imani hata Shillingi 100 bado haija ingia ndani ya hazina (cash box) !!!
Patamu hapo ila wacha movie indelee tanesco jaman msiombe magufuli akawa mgeni wa ghafula