Naona polepole unahama kambi kutoka uliko hamia unarudi fasta hahahaha
Naungana na hoja ya mdau Fransis Da Don #12 , kuwa magari ya Transit yote yatumie rangi moja ili kudhibiti hilo, lakini namimi kwa kuongezea nadhani hata hayo ya transit nayo yalipie ushuru kama wa uingizaji wa mafuta Tanzania, kwa maana kwamba Tanzania inazisaidia nchi husika kukusanya kodi za uingizaji mafuta nchini mwao!
Kwahiyo Tanzania itazilipa hizo nchi kodi iliyowasidia kukusanya! Ikiwa Tanzania imekusanya Zaidi kuliko kiasi ambacho nchi husika inatoza, basi Mwingizaji wa hayo mafuta ataruidhiwa bal na nchi yake!
na wale waliokuwa wanamkubali wanaisoma namba waliyoiandika,hapa ni kama ule wimbo wa bonge la nyau!
atoke kwa nini? msomwonee kwa kuwa ni mhaya, chuki binafsi eee, chuki binafsiiiiiiiiiiiiiiiiiSiasa imekiharibu Chuo kikuu cha Dar.Kuna umuhimu wa kufanya mabadiliko.Mukandala atoke
Sio kupakwa Rangi tu Bali iambatane na adhabu KaliNaungana na hoja ya mdau Fransis Da Don #12 , kuwa magari ya Transit yote yatumie rangi moja ili kudhibiti hilo, lakini namimi kwa kuongezea nadhani hata hayo ya transit nayo yalipie ushuru kama wa uingizaji wa mafuta Tanzania, kwa maana kwamba Tanzania inazisaidia nchi husika kukusanya kodi za uingizaji mafuta nchini mwao!
Kwahiyo Tanzania itazilipa hizo nchi kodi iliyowasidia kukusanya! Ikiwa Tanzania imekusanya Zaidi kuliko kiasi ambacho nchi husika inatoza, basi Mwingizaji wa hayo mafuta ataruidhiwa bal na nchi yake!
UDSM ya leo siyo ile ya jana na juzi ambayo nilizaliwa na kukulia mimi.
Sasa zile nyumba za walimu zina hali mbaya sana.
Kwa mfano zile nyumba za pale Darajani hata kule Kileleni...zinatia kinyaa.
Hakika kutakuwa na ufisadi mkubwa pale.
ngabu mtoto wa chuo?? udasa enzi hizo inabamba mbaya.