Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ccm haina watu wengine ?
Naunga mkono hoja 100% .... Kagasheki ni Kiongozi shupavu asieyumbishwa ... Watampa ? Maana watu wa Dini yake hawatakiwi ...
hueleweki .Mkuu hilo ndo swali. CCM hakuna tena wengine? Kuna haja gani kwenda chambua makapi ya mwenzio wakati kapu limejaa tele? Tatizo letu ni watu kujimulikisha mulikisha angalao wakumbukwe. Sorry
Huyu hakuna lolote kelele tu bungeni
Bora Kagasheki
Pamoja na kuwepo huyo waziri alitusidia nini? kumbe nyinyi mnategemea mawaziri ili wavutie kwenu? Mkapa alikuwa Rais miaka kumi sasa barabara ya mtwara iliisha lini? acha upuuzi wewe nyambafmtajuta kskz hakuna waziri safari hii
Katika viongozr wa awamu iliyopita nilifurahishwa sana na utendaji wa naibu wazi wa tamisemi ndugu agrey mwanri.kwakweli ni mtendaji mahiri ila nimeshangaa kwanini amekosa ubunge kule kwao.ina maana hawaoni uwajibikaji wake?naomba muheshimiwa rais umwone huyu ndugu kwani atakufaa kwenye kikosi chako hasa mambo ya ndani.
Kagasheki hafai kwa ubunge ama uongozi wowote, huyu jamaa ni mwizi asiye na akili. Alitumia madaraka vibaya sana kipindi yuko anacheza na maliasili kudhania wanyama wa Tanzania ni mali yake na waaarab.