Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ushauri mzuri ila kwa sasa ni vizuri tukamshauri Rais kuweka mikakati ya kujitegemea kuliko kuendesha serikali kwa kukopa kopa...ingawa hata mataifa makubwa km UK na USA yanakopa kwny taasisi za kifedha!
Kumbe mkuu umenielewa vizuri, lengo liwe kuacha kukopa, ila kama itakuwa lazima kukopa basi tukope kwenye taasisi za kibenki zilizo nje ya nchi
 
Halafu cha kuchekesha hizo hela wanazokopeshwa ni hela za serikali. utakuta ni deposits za taasis za serikali kama NSSF, NHIF, n.k.
in total hizi taasisi za serikali zinazaid ya billion 500 kwenye haya mabenk ya kibiashara.

hii nchi ya ajabu sana. at least now nina hopes na Magu.
 
Naunga mkono hoja 100% .... Kagasheki ni Kiongozi shupavu asieyumbishwa ... Watampa ? Maana watu wa Dini yake hawatakiwi ...

Ulianza vizuri ila hapo kwenye wekundu ndo umeharibu kabisa. Kwni hatuwezi kuwaza nje ya udini? Hivi makamu wa rais na waziri mkuu wanatokea dini ipi?
Tujenge nchi yetu kama alivyotuachia mzee Nyerere, hakuna udini wala ukabila. Kazi tu ndo inayotakiwa
 
Naunga mkono 100%

Kati ya watu wasioitakia mema nchi hii ni Kagasheki.Ni mchoyo,mbinafsi,mwenye hila na anayependa maendeleo yake binafsi.Hapendi kuona wengine wakifanikiwa.Ni bingwa wa kutumia hila hata kwa kukwamisha maendeleo ya watu ili mradi apate ama atimize anachokitaka.HAFAI HAFAI HAFAI.
 
Kama sielewi vile..mh rais kwanza.nikupongeze kwa.speed zako ila nahisi baada ya kufyeka.bandari ushauri wangu na bodi ya tra.nayo ifyekwe aitufai

nimewahisoma humu jf siku moja hii bodi ndio imemteua.masamaki kuwa.kamishna..mh hon kamatiyabunge imepambana.sana sana kumwondoa.wakashindwaa..tusaidie kwa hii promotion ya bodi

wanabakije mpaka sasa.kwenye uongozi

naomba tuondolee.hii bodi mh hon...president ahsante.sana...
 
MH RAIS.NA.MENGI YA KUANDIKA KUTOKANA.NA.MB NANE TU NTAOMBA NIWEKE.MACHACHE..WIZI WA VIFAA VYA MASHINE.ZA.MRI NA.TSCAN.AUJAANZA.LEO ..SASABASI UKWELI ULIOPO ZILE.MASHINE ZA.MUHIMBILI ZIMEANZA KUCHOKA TUTAITA KILASIKU KUTENGENEZA NAOMBA

1))TUNUNUE MASHINE ZOTE.MPYA

2))TUNUNUE.MASHINE ZA.MRI NA TSCAN TUwEKE LUGALO

3))TUNUNUE TUWEKe.NA AMANA

KWA.NJIA HII WALE WAHUNI.WA.MUH HATA WAKIARIBU WANAJUA WANANCHI WANAENDA LUGALO NA AMANA NA SIO HOSP.ZAO..N VYEMA WANANCHI WAWE.NA CHAGUO.KWA MAHITAJI YA TSCAN NA.MRI..ELSE TUTAENDELEA KWENDA HOPE.HOSP KILA.SIKU ZA.MAISHA YETU NA KUPIGWA.LAKI.TATU.MPAKA.TANO

TUIBORESHE.LUGALO HOSP IHESHIMIKE TUPELEKE MA DK WAZURI NA KUBORESHA MASHINE HAKIKA TUNAMALIZA SHIDA ZAO...

NA MUNGU AKUBARIKII
 
ht mi sielewi kwa kweli ila sina mpango kbs,,asa cjui watakuja kinigongea magetoni au vp
 
Unanunua umeme. Unakatwa ''service charge''. Unakatwa ''VAT''. Unakatwa ''REA''. Umeme wa sh 10,000 unaandamwa na makato hadi kilio.

Unanunua vocha. Hukatwi ''service charge''.

Service charge ni jipu. Litumbuliwe!
 
Tuache utani,kuna majipu yakiguswa mtumbuaji anapokonywa kadi ya chama.Kuna hili jipu la Home Shoping Center,Meli za katibu kwenye kodi au hata ile kashfa ya meno ya tembo,Lake Oil na umilishwaji wa maeneo kwa Mtoto wa Mfalme.Wakuu
 
Duuuuu ila kweli! Magu hebu nenda ''Loliondo'' ukanda wa UAE uliopo Tanzania! hahahaah! Utaporwa kadi ya chama fasta!
 
Haahaaaaaa...hasa

1: Lake Oil, Lake Gas

2: Meli za Katibu Mkuu..

3: Home Shopping Center.. hili anaweza litumbua sana tu.... na hili i hope lipo in progress...

4: Wauaji wakuu wa Tembo... 🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘

...mdogomdogo..🚶🚶🚶
 
Dr Magufuli kaonekana kuziteka hisia za Watanzania sote, sasa nina wazo nadhani ni jema kwa Rais Dr Magufuli tusaidiane kuliboresha zaidi. Dar - Es - Salaam kuna msongamano mkubwa sana wa kila kitu, sasa Rais Ahamie Dodoma napenda kuita Poshington alafu tujenge Ikulu ya pekee Barani Afrika pia ujengwe uwanja wa ndege mkubwa zaidi Afrika na duniani. Pia ijengwe njia ya reli ya umeme ambayo inaweza kutoka Poshington mpaka Dar kwa saa 1 au 2 ndege kubwa duniani zitatua hapa Dodoma na watu kwenda Dar kwa muda mfupi sana. Na hivyo kuifungua Dodoma na Dar kuwa miji ya kisasa, mwisho zijengwa barabara za kisasa na kituo kikibwa cha kijeshi na Dodoma panuliwe zaidi ili iwe Capital City kweli kweli tuachane na hadithi ya serikali kuamia Dodoma sasa hamieni Poshington.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom