bahati mbaya kwako mie sijasoma kipindi cha ndalichako..sikujua kama najadili na toto la juzi,tuition zimekuharibu wewe,kichwa yako vivu ya kufikiri
Ni maoni YANGU kama mdau WA ELIMU pia katiba ya nchi 1977 ibara ya 18(a) inaniruhusu kutoa MAWAZO YANGU KWA rais wangu. Wizara ya ELIMU inahitaji MTU aliye makini na msomi, pia awe angalau anafahamu changamoto zake.
Kwa heshima na utii ningeomba umrejeshe Mama Ndalichako ama awe katibu mkuu WA Wizara ya ELIMU au umpe UBUNGE kisha awe waziri WA ELIMU.
Wizara ya fedha ukamate mwenyewe, waziri mkuu akamate Utalii, nchi itatoka hapa tulipo.
kwa nini kwenye somo hilo tu?
Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.
Hili jambo hulijui vizuri pengine nyamaza tu.Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.
nimekurupuka kama nguruwe wako alie kwenye siku zake huko nyuma bandani?
huyu si yule aliyewafelisha waislam kwa kisingizio cha mitambo imesala...HAFAI
Sio kweli unaloongea.Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.
Jibu alilitoa Waziri wa Elimu Mh. Shukuru Kawambwa. Soma hapa kisha rudi tujadili...kwa nini alama za mtihani uzigawe kwa tatu badala ya mbili kama utaratibu unaousimamia unavotaka?
kwa nini alama za mtihani uzigawe kwa tatu badala ya mbili kama utaratibu unaousimamia unavotaka?
Huyo NECTA ilimshinda...ataiweza wizara? Tutolee utani hapa.
kaa kimya kafili now waislam wanapumua matokeo yanaonekana mmeanza kuumia mashetan utawajua tu,huyo mama kama mnampenda mpeni uaskofu
Majuzi nikiwa field Nilikutana na wazee fulani waliosoma naye tangu enzi hizo... Walimsifu sana Ndalichako wakidai 'lina akili lile'