bahati mbaya kwako mie sijasoma kipindi cha ndalichako..sikujua kama najadili na toto la juzi,tuition zimekuharibu wewe,kichwa yako vivu ya kufikiri
Nyerere mwenyewe anasalute sembuse wewe. Hakuna cha tuition wala nini hapa ukweli lazima uwekwe wazi. Na kwa taarifa tu yule mama hakutoka kwa sababu ya islamic exam ni issue nyingine tofauti.