Mkuu maneno yako mazito sana tena sanaUmaarufu wa Magufuli ulikuwa juu kipindi walipokuwa mapacha watatu, JohnMagufuli,Kasim Majaliwa ,Ombeni Sefue,ilikuwa kama neyma,suarez na messi
Mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na mawaziri
alipoanza teuzi tu watu wakaanza kuguna ,
kila anapoteua watu wanaguna mmmmmm
sasa chunusi zinatumbuliwa majipu yanaachwa
amebaki messi peke yake,majaliwa hajulikani aliko
mama samia nae kaibukia mwenge wakati tulitarajia mwenge huoungewekwa makumbusho
katibu mkuu kiongozi mpya hata sura yake watu hawamjui
Mkuu maneno yako ni mazito sana tena sana naona emejaribu kuangalia tulipotoka na tulipo mara ya mwisho mm kumuona balozi kijazi nilikuwa india ubalozini ila tangu apakia mzigo yake kwenye kontena lake la futi 20 sijamuona tena sijui bado yupo likizoUmaarufu wa Magufuli ulikuwa juu kipindi walipokuwa mapacha watatu, JohnMagufuli,Kasim Majaliwa ,Ombeni Sefue,ilikuwa kama neyma,suarez na messi
Mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na mawaziri
alipoanza teuzi tu watu wakaanza kuguna ,
kila anapoteua watu wanaguna mmmmmm
sasa chunusi zinatumbuliwa majipu yanaachwa
amebaki messi peke yake,majaliwa hajulikani aliko
mama samia nae kaibukia mwenge wakati tulitarajia mwenge huoungewekwa makumbusho
katibu mkuu kiongozi mpya hata sura yake watu hawamjui
Mtatapatapa sana enzi ya huyu mkubwa!Mh Rais wetu, ukweli huu mchungu lakini ndio ukweli mkuu unaoweza kulisaidia taifa hili nakuwa na future nzuri.
AJIRA KWENYE TAASISI NYETI ZA NCHI HII ZIPITIWE UPYA NA IKIWEZEKANA AJIRA MPYA ZITANGAZWE KWA USIMAMIZA NA MCHUJO WAKITAALAMU ULIO WAZI, MH Rais vilaza wanaligharimu taifa na hatutaweza kufika popote.
Mh Rais nikisema vilaza namaanisha watu wasiona na uwezo kuanzia kitaaluma,kiutendaji na kimaadili, mkuu vilaza hawa ndio washauri,watoa maamuzi na watendaji na mbaya zaidi wamejaa kwenye zile taasisi nyeti zenye msukumo kwenye uchumi wa taifa hili.MKUU UKILIACHA HILI MIAKA 10 ITAPITA KAMA NDOO YA MAJI ILIYOTOBOKA. MKUU UNDA HARAKA TAASISI YA KUFUATILIA HILI KWA MAANA YA KUSAILI TENA UPYA WATENDAJI WA TAASISI MBALIMBALI NYETI KUANZIA JUU MPAKA CHINI HUKO...
MKUU HILI NI LA HARAKA SANA, UKILAZA KWENYE MIFUMO YETU NDIO CHANZO KIKUU CHA MENGI YANAYOTUSIBU, HATUNA WATU SERIOUS NA COMPETENT WAKUTOSHA KWENYE MIFUMO YETU.
Mtatapatapa sana enzi ya huyu mkubwa!
Well said mkuu! Waliopata ajira kwa ngono (wanawake),waliopata ajira kimjomba mjomba,walionunua vyeti,walioghushi vyeti,waliotoa rushwa,waliopitia kwa sangoma n.k. Na katika msako huo waanzie Jeshi la Polisi kisha idara ya afya na ualimu.
tuanze na elimu kwanza. Ndalichako kalewa sifa. awasikilizi wadau juu ya matatizo ya elimu hapa nchini na namna ya kutatua...