mkuu umemsahau Dr. Bana (UDSM) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JAMAA JASIRI SANA HUYUSijui ni nguvu ya mitandao ama ni kelele za wachache ila ukweli ni kwamba kuna baadhi ya mambo yanalalamikiwa sana. Suala la uchumi, ajira kwa vijana, issue ya bandari, msuguano kati ya TRA na TPA, na suala la kodi zimekuwa zikijadiliwa sana, na wengine kwa jazba...
Jana Mbunge wa Igunga alisema kuna viongozi wanaogopa kumwambia Mh. Rais ukweli, ama wanamdanganya.... Hivyo, naomba Mh. Rais chukua wafuatao watakusaidia na kulisaidia Taifa kwa kusema ukweli
1. Professor Issa Shivji (UDSM)
2. Dr. Mwami (UDSM)
3. Dr. Bashiru Ally (UDSM)
4. Professor Palamagamba Kabudi (UDSM)
5. Professor Haji Semboja (UDSM)
Hawa wakija kama jopo la ushauri, kwa hakika tutaona mabadiliko ya kweli. Na sio waoga kabisa. Kwa sasa taifa limekumbwa na uoga, watumishi waoga sana, na wanahofu kiasi cha kupelekea kutokufanya maamuzi... Kila kitu wanasubiri maelekezo...
Yaani kwa sasa huo ushauri hauwez sikilizwa halafu ina onekana kila mtu kamuacha tuu afanye anavo taka ,akiumia huko mbele ata omba msaada.
Na ufikiria mwisho wa huyu jamaa halafu sipati picha yaani
Hapana. Nafkiri alikuwa anachombeza, unajua Rais wetu anapenda sana kuchombeza... Kwa manufaa ya Taifa itamlazimu achukue wanazuoni. Wanasiasa ni waoga sana hawawezi kumshauri..
Huyo SEMBOJA sialikuwepo kwenye Serikali ya mkwere kuna lipi kafanya..Angalau KABUDI lkn nae katulizwa kwenye Uenyekiti wa Bodi ...TIB kama sikosei
kati ya hao uliowataja, ondoa namba tatu,namba nne na namba mbili. waliobaki labda kidogo. lakini naamini kule ikulu au popote walipo hao wanaomshauri, ni wazuri kuliko hao wote uliowataja hapo. ninyi ndio mnampotezaga sana rais kwa ushauri wenu wa ajabu na watu wa ajabu.Sijui ni nguvu ya mitandao ama ni kelele za wachache ila ukweli ni kwamba kuna baadhi ya mambo yanalalamikiwa sana. Suala la uchumi, ajira kwa vijana, issue ya bandari, msuguano kati ya TRA na TPA, na suala la kodi zimekuwa zikijadiliwa sana, na wengine kwa jazba...
Jana Mbunge wa Igunga alisema kuna viongozi wanaogopa kumwambia Mh. Rais ukweli, ama wanamdanganya.... Hivyo, naomba Mh. Rais chukua wafuatao watakusaidia na kulisaidia Taifa kwa kusema ukweli
1. Professor Issa Shivji (UDSM)
2. Dr. Mwami (UDSM)
3. Dr. Bashiru Ally (UDSM)
4. Professor Palamagamba Kabudi (UDSM)
5. Professor Haji Semboja (UDSM)
Hawa wakija kama jopo la ushauri, kwa hakika tutaona mabadiliko ya kweli. Na sio waoga kabisa. Kwa sasa taifa limekumbwa na uoga, watumishi waoga sana, na wanahofu kiasi cha kupelekea kutokufanya maamuzi... Kila kitu wanasubiri maelekezo...
Tatizo anaye pewa ushauri sio watoa ushauriHapana. Ni vyema tukalisaidia taifa hilo kusonga mbele kwa pamoja... Tusimuache mtu yoyote aongoze nchi hii, hata ingekuwa Mimi..
Amchukue Pia Dr.Chacha Bhoke Murungu(Pretoria S.A), (UDOM)Sijui ni nguvu ya mitandao ama ni kelele za wachache ila ukweli ni kwamba kuna baadhi ya mambo yanalalamikiwa sana. Suala la uchumi, ajira kwa vijana, issue ya bandari, msuguano kati ya TRA na TPA, na suala la kodi zimekuwa zikijadiliwa sana, na wengine kwa jazba...
Jana Mbunge wa Igunga alisema kuna viongozi wanaogopa kumwambia Mh. Rais ukweli, ama wanamdanganya.... Hivyo, naomba Mh. Rais chukua wafuatao watakusaidia na kulisaidia Taifa kwa kusema ukweli
1. Professor Issa Shivji (UDSM)
2. Dr. Mwami (UDSM)
3. Dr. Bashiru Ally (UDSM)
4. Professor Palamagamba Kabudi (UDSM)
5. Professor Haji Semboja (UDSM)
Hawa wakija kama jopo la ushauri, kwa hakika tutaona mabadiliko ya kweli. Na sio waoga kabisa. Kwa sasa taifa limekumbwa na uoga, watumishi waoga sana, na wanahofu kiasi cha kupelekea kutokufanya maamuzi... Kila kitu wanasubiri maelekezo...
Tatizo anaye pewa ushauri sio watoa ushauri
Sasa kama ana lilia wembe wacha apewe tuu maana hakuna namna
Na yeye alisha sema ngoja ajaribu anayo ya waza kwanza akishindwa ata cheki na mengine
kati ya hao uliowataja, ondoa namba tatu,namba nne na namba mbili. waliobaki labda kidogo. lakini naamini kule ikulu au popote walipo hao wanaomshauri, ni wazuri kuliko hao wote uliowataja hapo. ninyi ndio mnampotezaga sana rais kwa ushauri wenu wa ajabu na watu wa ajabu.
Huyo afadhali wengine ni theorists, by the way Semboja kawa prof lini?Hao wote hawawezi kumsaidia.....
yuko Benno Ndulu.....ndie aliepaswa kumsikiliza kwa masuala yote ya uchumi ..hamsikilizi...
Huyu naye kashapewa tulizo la moyo huko TIBUmetisha sana huyu palamagamba uwa namwelewa sana huyu jamaa
Wacha tuoneHuyu naye kashapewa tulizo la moyo huko TIB
Huyo afadhali wengine ni theorists, by the way Semboja kawa prof lini?