Hilo nalo Neno.kila mtumishi ni muhimu kuwa motivated kwa njia moja au nyingine.Awape posho walimu wote si wakuu wa shule tu kama ilivyoanza kufanyika sasa hivi analeta ubaguzi na chuki kwani wakuu hawana kazi zaidi ya kukaa ofisini, walimu wa kawaida ndio wanaofundisha morali ya walimu inashuka na matokeo yake yatakuwa mabaya
Kamanda,Neno ulilolitabiri limetoka kama mada yako ilivyosema unapokuwa mjeda wa akiba.Mimi nitamuomba aseme neno moja tuu
"Nimeguswa na tetemeko la ardhi Bukoba, Poleni! "
Na roho yangu itapona! .
Pasco
Poleni sana Wananyamongo kweli picha tu zinatoa ujumbe na nazikumbuka sana.Nitamwambia ahadi yake aliyoitoa Nyamongo kuhusu malipo ya fidia tarehe 11/09/2016 alipokuwa anapita kuomba ridhaa ya wananchi wa Nyamongo kuwawakilisha ikulu ya magogoni,aliwambia wananchi wa Nyamongo kuwa,sitawavumilia wawekezaji wasiojali wananchi, nikiingia ikulu tu itakapofika mwezi wa pili,wananchi wote wangelikuwa wamepewa haki zao,lakini hadi Leo ni kama ndoto,mgodi unadhurumu ardhi na kuleta madhara makubwa kwa wananchi, mgodi unatiririsha maji yenye sumu kwenye makazi ya watu,mgodi sasa hausikilizi hata unayoambiwa na serikali,hayo ndo ningemkumbusha mh Rais wetu ili anapokuja TARIME mwezi huu afike na Nyamongo ajionee mwenyewe,
Na Ahadi ni Deni lazima utimizeNdugu wananchi, nimeyasikia na nitayafanyia kazi "naahidi sitowaangusha" 🙂
kipindi cha uchaguzi, zile nyimbo zilikuwa na maana sanaa, "mmeipenda wenyewe, chaguo lenu wenyewe....." nadhani hapo melody imekujia malizia mwenyeweNa Ahadi ni Deni lazima utimize
Lugha ya staha plse jamaniNitamwambia asipende kuwatukana wenzake vilaz.a wakati yeye akitukanwa anawapeleka watu mahakamani.
Kuniita mi Kilaz.a kisa nawatetea wanafunzi wa UDOM waliotimuliwa aliniudhi sana.
Awache wapinzani wafanye kazi ya kueneza sera na kutafuta wanachama zaidi. Pia awaache wafanye vikao vya ndani. Nasikia polisi waliwahi kuvamia semina ya TRA wakidhani ni Ukuta.
Mkuu, nasema alichosema mbele ya vyombo vya habari kutupasha sisi wananchi wake. Kama maneno hayo hayana staha ni ya mtukufu sana.Lugha ya staha plse jamani
wema wa tanzania hupungua kwa raia wake kila kukichaNdugu yangu Stress za PAYE kubwa,huduma mbovu kitaa na kama vile haitoshi nimesikia WANAITAKA NA NSSF yangu!
Aacha ushamba na wewe kwan amekwambia umjibie na we siulize swali lokoWewe ndiye uliyedidimia kidemocrasia.
Nitamwambia aendelee na msimamo wake huo huo km hakuna shughuli za siasa hadi 2020, hakuna bunge kuonyeshwa "live", hakuna maandamano, hakuna kuhudhuria mikutano ya UN, AU, SADC na kadhalika maana ataokoa gharama nyingi. Kwa ufupi nitamwambia azidi kukaza bolt kila mahali ili fadha ya walipa kodi isipotee bure.MH RAIS AKIKUPA NAFASI YA KUONGEA NAE LEO JAPO KWA DAKIKA MOJA TU,
JE UTAMWAMBIA NINI? PAMOJA NA...PONGEZI,USHAURI HATA MAOMBI n.k
Angalizo..maneno ya staha ni muhimu.
Ujumbe mzuri ktk kupiga hatua na kulisaidia Taifa.umefika kwa wahusika.thankshii fursa adimu mno, yangu ni matano
1. Nyerere alidhamiria kuijenga bongo kuwa heaven kupitia ujamaa ila wasaidizi wake baadhi aidha hawakuwa competent enough, au hawakumwelewa na dira yake nzima au labda walimwangusha i do not know so it is a big lesson to him too! namuasa asimuamini kabisa msaidizi wake yoyote (ila hii iwe moyoni tu asiiseme) na awe anawapima wasaidizi wake performance regularly (kila 3 months wampe ripoti ya kazi zao na waprove kuwa watu sahihi kwa kazi walizopewa ) na anaezembea asimuoneee aibu amuondoe haraka bila kuchelewa
2. alipe walimu vizuri na aboreshe miundombinu mashuleni na vitabu viwe vya kutosha mashuleni na viboko vifutwe! mi naamini binadamu si ng'ombe wa kupigwa pigwa ovyo. watoto wanachukia shule na elimu kupitia viboko! namuomba Afumue mitaala ya elimu ya sasa yote , awashukie watu wa taasisi ya ukuzaji mitaala watafakari mitaala yao inaleta watu wa namna gani maofisini na mitaani! kila mtoto sasa anataka kuwa msanii wa bongofleva tu! kila muajiriwa mpya anataka miezi sita tu ya ajira awe na nyumba na baloon! mi naona hii mitaala ya sasa inajenga jamii ya mafisadi na wapiga dili wa baadae tu!
3. Abane pesa zaidi ya sasa na matumizi yasiyo ya lazima serikalini yaondolewe yote , abane mianya yote ya rushwa na ufisadi , akomeshe ujambazi na ujangili vibaki historia na asijali kabisa mayowe ya watu kuwa hali ngumu kwa maana baada ya muda mrefu kidogo (maybe 2 to 3 years ) ubanaji huu wa mission town ndo utaleta matunda na faida kubwa kwa nchi na utaibua utamaduni mpya na bora kwa wabongo , utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii bila kuchagua kazi na bila kuona aibu ya kazi yoyote ilimradi watoto na mke wapate MENU! kwasaasa kizazi hiki tumejaa uvivu, tunataka pesa za haraka haraka kwa njia za ujanja ujanja, tunapenda udalali , showing off, kupiga mizinga wapiga dili , wizi na ufisadi! na tukifika mahali hakuna baba au kijana anaona aibu kubeba zege au kuuza karanga mitaani , hapo sasa ndio penyewe mkuu akusanye kodi za kutosha kwa kila mtu hata anaeingiza 500 kwa siku alipe hata 20!
4. aondoe ushirikiano wa kiuchumi na wazungu achukue wachina! unyonyaji wa wazungu kupitia riba za mikopo yao ni sumu ya maendeleo!
5. wageni wanaoishi bongo bila vibali vya kuishi na kufanya kazi waondolewe kila ofisi warudi makwao, vitambulisho vya taifa viharakishwe! wageni ni hatari kwa usalama na uchumi wa nchi, wanachuma bongo , wanawekeza makwao!