Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mheshimiwa Rais JPM kufumua ni taabu kidogo na kuna issues za kisheria. Wewe bana tu mianya rushwa kwwnye mikataba hii. Pili sheria ya madini na utalii zibadilishwe na watoe neno malipo kwa dollar ili shilingi yangu ipae maake itatafutwa balaa! Tafiti za BOT hazisaidii kwa kuwa zinaangalia transactions za nyumba za kupanga, mikataba ya huduma za dollar na mambo madogo madogo. Dili ni kwenye sheria za utalii na madini.

Raia Mwema wa Kijiji cha Mkungo, Buzirayombo
 
Unadhani mikataba ya kimataifa inabatilishwa Kisutu au kwa amri yarais?
Uliza IPTL iliishiaje
Waliosaini walijua haibatiliki wakajiwekea "pension" zao humo humo.
Aidha ukiwa mbunge utakuwa kama Kibajaji,Deo Sanga au Halima Bulembo,complète big fat ZERO
 
Wana JF
Ombi langu limfikie mweshimiwa mtukufu John Pombe Magufuli aliposhikilia ashikilie hivohivo ili adabu ipatikane na malengo yetu yatimie wengine.

Sababu ilikuwa mwaka jana tu, kuna jamaa mmoja mchaga wa kishumundu huko nilimbembeleza sana aniuzie kiwanja katika sehemu niipendayo na nina ndoto ya kujenga na kuishi hapo (Mbweni), yule jamaa aliniletea pozi nying na mbwembwe huku ananitajia bei ya kiwanja million 100 huku anaweka castle lite yake barid kinywan hatak maongez zaid ya hapo.

Bac kiwanja kikanishinda mana mimi nilikuwa na million 50 na jamaa akakataa kabisa lakin alibak na namba yang ya simu kumbe alikuwa kaisave.Sasa juzi usiku nikapokea sms ya namba mpya mana sikuwa nimesave ile namba yake sasa chatting yetu ikawa hivi.

Mchaga-kaka mambo vip.

Kyenekyaka-pouwa vip.

Kyenekyaka-nan mwenzang.

Mchaga-ebana mchaga hapa yule jamaa wa kiwanja mbweni tuliongeaga mwaka jana.

Kyenekyaka-oke oke za siku nying kk

Mchaga-fresh kk za huko

Mchaga-shem mzima

Kyenekyaka-yap yupo pouwa bana, lete habari

Mchaga-ebana kaka tuongee vizur kile kiwanja

Kyenekyaka-ehee lete habar sasa

Mchaga-ebana ile hela ya kipind kile lete tumalize biashara.

Kyenekyaka-daaaa kaka hela ilipungua kidogo

Mchaga-ipo ngap aisee

Kyenekyaka-ngoja nitakuchek bro.
.
.
.
Sasa nimekaa kimya mpaka asaiv na nimemshukuru sana magufuli kwa kuninyoshea na jamaa namzungusha mpaka mwezi wa kumi na mbili pale ambapo hela ya kurud moshi sikukuu hana na malingo kwa ndugu zake(wakina mosha masawe shayo) pia majukumu ya watoto ada pale Tusiime hana nachukua kwa million 25 we ngoja..
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une. ..
 
Mimi napenda akanyagie hapo hapo na ikibidi aongeze makali ili watu waisome namba vizuri na wajute kuzaliwa na kukutana na awamu hii. Ikishakuwa hivyo akili itaingia vichwani na akili hiyo itakuwa msaada sana katika uchaguzi mkuu ujao.
 
Watu mnafanya mambo yenu huko on private basis, afu wewe unakuja kuyaleta hapa. Mbaya zaidi unayaandika na maongezi/conversation kabisa with subjects za hiyo convo.

Naonaga humu baadhi ya watu hudondosha hizi swaga. Hivi hizi huwa ni 'chai' iliyokosa sukari ama huwa ni real happenings?

Coz huwa najiuliza, sasa huyo the other party anayezungumzwa hapa kama naye yupo humu JF si atasoma uzi na kugundua?

Mfano Uzi huu, mleta mada kaweka kabisa mpk convo ya simu walivyokuwa wanachat (hata kama katumia pseudo names), je what if huyo mhusika nayeye yupo humu?

Ama kweli JF ni kama kokoro.

-Kaveli-
 
Kwahiyo nia yako ni kutaka tujue kuwa unampango wa kununua kiwanja ila hela ilikuwa haijatoshea na sasa unabembelezwa? Je kama anauza kwa kuwa na shida binafsi au ana matatizo? Au kwako we unadhani magufuli ameathiri kila mtu?
 
unafurahi mwenzio mangi kutingwa???
mtu akipatwa an shida si busara kushangilia..........
 
Kaa usubirie hiyo December kama na chenyewe kitakusubiri uone kama hujaenda nunua kishumundu ama kilindi
 
Umasikini wako ndo unakuchanga akili, Nenda katubu ndo akili yako itarudi kuwa normal, Mungu nihurumie mm mja wako, nijalie hekima na busara.
 
Kama ungekuwa RAIS wa kuchaguliwa

Nchi imepata janga la asili na watu wengi wamepoteza maisha,nyumba kadhaa zimeanguka,zimepata nyufa,majengo ya umma yameanguka.

Je ungefanya nini na wewe ndo Rais wa nchi.
 
Kama ungekuwa RAIS wa kuchaguliwa

Nchi imepata janga la asili na watu wengi wamepoteza maisha,nyumba kadhaa zimeanguka,zimepata nyufa,majengo ya umma yameanguka.

Je ungefanya nini na wewe ndo Rais wa nchi.
Kichwa cha habari na maudhui ya thread haviendani. Hebu rekebisha ueleweke na sisi tuweke nondo za kusuport thread yako. Tuliza mawazo halafu ndio uandike.
 
Kama ungekuwa RAIS wa kuchaguliwa

Nchi imepata janga la asili na watu wengi wamepoteza maisha,nyumba kadhaa zimeanguka,zimepata nyufa,majengo ya umma yameanguka.

Je ungefanya nini na wewe ndo Rais wa nchi.
Mkuu, mbona tayari pame pambazuka..[emoji5] [emoji5]
Au mwenzetu bado upo ndotoni..[emoji15] [emoji15]
Muheshimiwa Rais KAMA ANGEKUA RAIS WA KUCHAGULIWA...!!
Hapo sijakuelewa vizuri mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…