Mkungo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 222
- 134
Mheshimiwa Rais JPM kufumua ni taabu kidogo na kuna issues za kisheria. Wewe bana tu mianya rushwa kwwnye mikataba hii. Pili sheria ya madini na utalii zibadilishwe na watoe neno malipo kwa dollar ili shilingi yangu ipae maake itatafutwa balaa! Tafiti za BOT hazisaidii kwa kuwa zinaangalia transactions za nyumba za kupanga, mikataba ya huduma za dollar na mambo madogo madogo. Dili ni kwenye sheria za utalii na madini.
Raia Mwema wa Kijiji cha Mkungo, Buzirayombo
Raia Mwema wa Kijiji cha Mkungo, Buzirayombo