Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kuna mambo ambayo ningependa kumuuliza sizonje Kama nikikutana naye Na kupata nafasi ya kumuuliza maswali..

1. Hivi sizonje unaisi ww ni kiongozi wa aina gan?

2. Hivi sizonje unahisi wanyonge wanaumizwa au wanafarijika Na kauli zako?

3.Hivi sizonje unajua kuwa kwa madalaka uliyonayo kauli yoyote unayo itoa Ni amri kwa wahusika?

4.Hivi sizonje Kuna wakati huwa unatoa hotuba za utani Na huwa humaanishi?

5.Hivi sizonje mchakato wa uhakiki wa watumishi hewa umefikia wapi maana Kuna vijana wanaungua Na jua mtaani kuzisubiria ajira?

6.Hivi sizonje bashite Ni msamiati mpya katika lugha ya kiswahili?

7.Hivi sizonje wewe Ni member wa SHILAWADU?

8. Hivi sizonje unajua kuwa wanaokusifia hadharani huofia kutumbuliwa na kufungwa na si vinginevyo?

9.Hivi sizonje Una taarifa kuwa kauli zako zinaweza kusababisha makundi katika himaya yako

10.Hivi sizonje huwa unawasikiliza washauri wako?
Haisaidii
 
Enzi hizo kulikuwa na chuo cha kufunza makada wa chama ambao baadae walipatikana viongozi wenye busara na heshima kuongoza serikali na mashirika ya umma,kwani bwana wewe huyu mtoto wa jicho ulimfukua dampo gani!
Akisomea ukada ndiye anakua kiongozi mzuri? Mbona kikwete amepitia na badi ametukanwa?
 
Mkabila, mbaguzi, chuki, visasi, roho mbaya hawezi fanikiwa kwa chochote sababu ya hila zake
Dua la kuku...ndio nyinyi mnaomba kila siku ndege zianguke madaraja yabomoke vivuko vizame n.k badala ya kuyaombea maisha yako yasimtegemee magufuli.
 
Na yeye nani asitoe VYETI vyake..wakati watumishi wa umma kama yeye wamekaguliwa na wengine kufukuzwa KAZI? atoe VYETI DAUDI BASHITE.
Hao wote waliokaguliwa na kufukuzwa waliweka vyeti mtandaoni? Kwa taarifa yako makonda hauhusiki na sheria za watumishi wa umma yeye ni mteule wa rais. Hili zoezi haliwahusu wateule wa rais na wanasiasa kama wabunge na madiwani.
 
Hii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Mimi namuomba, Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.

Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mghwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.

Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.

Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.

Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.

Hivi ndo yule team milembe aliyesema ndoa hadi cheti cha kuzaliwa huku sheria inasema hata mkikaa kwenye mausiano kwa muda furani mnakuwa ni mke na mume sasa chizi la namnahiyo lisilojua sheria liliingizwaje kwenye chama cha wanasheria au ni team bashite
 
= fulani
 
Wana JF naomba niwasilishe amri hii kama ujumbe kwa Magufuli, hili sio ombi kutoka kwetu sisi, mwaka 2020 hatutahitaji aje atushawishi au kutueleza nani tumpigie kura awe Rais, Mbunge au Diwani maana mchezo huu ameuanzisha mwenyewe na kwakuwa hataki kusikiliza hisia zetu tulio mfikisha hapo alipo sasa tumesimama na kusema kuwa asije kutuelekeza wala kutushawishi nani wa kumpigia kura maana akija tu basi atakuwa amekosea na atakuwa ameharibu aache tu tunajua wenyewe jinsi ya kujiamulia maana hatuhitaji atuletee hisia zake na ushawishi wake maana si yeye anayetuletea chakula na nguo, asituelekeze wapi pa kupigia kura tutapajua wenyewe tuna akili timamu.
 
Atakwenda kuwaambia wana CCM na sio akina wewe [emoji304][emoji1241]
 
LISALA YA WAZI KWA RAIS MAGUFULI

Magufuli Joseph Pombe, ukae ulivyo usibadilike! Na watu wasikuzoee. Ukali wako ndo umekupa kiti cha uraisi. Wale waliojifanya wema hawakufika mbali! Watu wakujue hivyo! hivyo! Usiwabembeleze. Kama ni cheo tayari unacho, haina maana yoyote watu kukusifia wakati Taifa linaangamia. Usiangalie wingi, angalia maendeleo,. Hata gari kama lina abiria watatu basi ondoa gari kituoni wengine utawakutana mbele. Hivyohivyo!

Uwe kama Putin wa Russia au Trump, ukarimu wa Kikwete ndo umetuingiza kwenye ulofa huu. Watu legelege hata MUNGU hawataki, Mungu anataka Viongozi mashujaa.
Mungu anataka watu wenye vyeti vya kufoji? Raisi aendelee vivyo hivyo na ukali wake wa kutumbua watu wenye vyeti vya kugushi na bwana mdogo nae atumbuliwe bila ubaguzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom