Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Akielekezwa na kila kundi atajikuta anakwama kwenye kila amuzi so anabodi yake ya washauri so hawa wa mitandaoni waachee wajisumbueBinafsi, nampongeza sana Rais Dr. Magufuli kwa msimamo.
Siyo rais awe mtu wa kulialia; ndivyo kiongozi anapaswa kuwa thabiti.
Kwa sababu, kama sivyo Watz mnaweza sema Rais asipande gari atembee kwa miguu kwa sababu wengi wa watanzania hawana magari.