Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Haisaidii
 
Enzi hizo kulikuwa na chuo cha kufunza makada wa chama ambao baadae walipatikana viongozi wenye busara na heshima kuongoza serikali na mashirika ya umma,kwani bwana wewe huyu mtoto wa jicho ulimfukua dampo gani!
Akisomea ukada ndiye anakua kiongozi mzuri? Mbona kikwete amepitia na badi ametukanwa?
 
Mkabila, mbaguzi, chuki, visasi, roho mbaya hawezi fanikiwa kwa chochote sababu ya hila zake
Dua la kuku...ndio nyinyi mnaomba kila siku ndege zianguke madaraja yabomoke vivuko vizame n.k badala ya kuyaombea maisha yako yasimtegemee magufuli.
 
Na yeye nani asitoe VYETI vyake..wakati watumishi wa umma kama yeye wamekaguliwa na wengine kufukuzwa KAZI? atoe VYETI DAUDI BASHITE.
Hao wote waliokaguliwa na kufukuzwa waliweka vyeti mtandaoni? Kwa taarifa yako makonda hauhusiki na sheria za watumishi wa umma yeye ni mteule wa rais. Hili zoezi haliwahusu wateule wa rais na wanasiasa kama wabunge na madiwani.
 
Hivi ndo yule team milembe aliyesema ndoa hadi cheti cha kuzaliwa huku sheria inasema hata mkikaa kwenye mausiano kwa muda furani mnakuwa ni mke na mume sasa chizi la namnahiyo lisilojua sheria liliingizwaje kwenye chama cha wanasheria au ni team bashite
 

= fulani
 
Wana JF naomba niwasilishe amri hii kama ujumbe kwa Magufuli, hili sio ombi kutoka kwetu sisi, mwaka 2020 hatutahitaji aje atushawishi au kutueleza nani tumpigie kura awe Rais, Mbunge au Diwani maana mchezo huu ameuanzisha mwenyewe na kwakuwa hataki kusikiliza hisia zetu tulio mfikisha hapo alipo sasa tumesimama na kusema kuwa asije kutuelekeza wala kutushawishi nani wa kumpigia kura maana akija tu basi atakuwa amekosea na atakuwa ameharibu aache tu tunajua wenyewe jinsi ya kujiamulia maana hatuhitaji atuletee hisia zake na ushawishi wake maana si yeye anayetuletea chakula na nguo, asituelekeze wapi pa kupigia kura tutapajua wenyewe tuna akili timamu.
 
"Mimi nilikuwa mpole sana, sasa nitawaletea mkali"
 

Atakwenda kuwaambia wana CCM na sio akina wewe [emoji304][emoji1241]
 
Mungu anataka watu wenye vyeti vya kufoji? Raisi aendelee vivyo hivyo na ukali wake wa kutumbua watu wenye vyeti vya kugushi na bwana mdogo nae atumbuliwe bila ubaguzi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…