Alipiga pushup#2020 sjui ataruka kifrogfrog auWana JF naomba niwasilishe amri hii kama ujumbe kwa Magufuli, hili sio ombi kutoka kwetu sisi, mwaka 2020 hatutahitaji aje atushawishi au kutueleza nani tumpigie kura awe Rais, Mbunge au Diwani maana mchezo huu ameuanzisha mwenyewe na kwakuwa hataki kusikiliza hisia zetu tulio mfikisha hapo alipo sasa tumesimama na kusema kuwa asije kutuelekeza wala kutushawishi nani wa kumpigia kura maana akija tu basi atakuwa amekosea na atakuwa ameharibu aache tu tunajua wenyewe jinsi ya kujiamulia maana hatuhitaji atuletee hisia zake na ushawishi wake maana si yeye anayetuletea chakula na nguo, asituelekeze wapi pa kupigia kura tutapajua wenyewe tuna akili timamu.
Wana JF naomba niwasilishe amri hii kama ujumbe kwa Magufuli, hili sio ombi kutoka kwetu sisi, mwaka 2020 hatutahitaji aje atushawishi au kutueleza nani tumpigie kura awe Rais, Mbunge au Diwani maana mchezo huu ameuanzisha mwenyewe na kwakuwa hataki kusikiliza hisia zetu tulio mfikisha hapo alipo sasa tumesimama na kusema kuwa asije kutuelekeza wala kutushawishi nani wa kumpigia kura maana akija tu basi atakuwa amekosea na atakuwa ameharibu aache tu tunajua wenyewe jinsi ya kujiamulia maana hatuhitaji atuletee hisia zake na ushawishi wake maana si yeye anayetuletea chakula na nguo, asituelekeze wapi pa kupigia kura tutapajua wenyewe tuna akili timamu.
Huo mtindo wa hotuba za kila mwezi ulianza na mkapa...jk aliendeleza tukumcopy jk ni sawa na kupangiwa na ukumbuke yeye si mtu wa kupangiwa..........halafu mambo ya kuongea kwa upole vile huku anasoma kwa teleprompter sio ishu!!!
waambie kabisa mkulu hataki kupangiwa, hawakumsindikiza kuchukua fomu alienda mwenyewe halafu wasije wakafikiri wana uhuru kiasi hichokumcopy jk ni sawa na kupangiwa na ukumbuke yeye si mtu wa kupangiwa..........halafu mambo ya kuongea kwa upole vile huku anasoma kwa teleprompter sio ishu!!!
HahahahahahahaKwa kauli za huyu baba hata asipoongea miaka yake yote sawa tu,
Kwa rangi ya mkanda wako wewe lazima utakua na ubashite tuKAMA NINGEKUWA PRESIDA MIMI......... [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
■Ningeongoza na sio kutawala
■Ningesikiza zaidi kuliko kusema
■Ningejenga daraja watu wanifikie na sio ukuta niwazuie
■Ningewapa kipaumbele wenye mawazo tofauti (chanya) nami ili tuwe na uongozi wa pamoja
■Umasikini nisingeuona ndio utakatifu
■Ningewapa wananchi maneno ya faraja na sio kuwakebehi (wapige mbizi, vilaza, mashetani n.k)
■Ningewafanya wasaidizi wangu (mawaziri, wakuu wa mikoa n.k) watende kazi kwa weledi wao na sio kujipendekeza na kuiga ili niwasifu
■Ningekaa mbali na mambo yoyote yanayoweza kupelekea imani za kidini kuingia ktk mitafaruku (kuwanyima wengine uhuru wa kusema na wengine kupewa vya zaidi)
■Ningeendeleza mazuri ya watangulizi wao na kurekebisha walioposhindwa kufikia malengo bila KUWADHARAU ■Ningelishika kwa tahadhari kundi la vijana wasomi wa vyuo vikuu
■NISINGEACHA KUKIPENDELEA CHAMA CHANGU LAKINI NINGETUMIA Akili Kubwa WAPINZANI WASIPIGE MAYOWE
■NINGEWAPA SEMINA WABUNGE NA MAWAZIRI WAACHE KUONGEA MAMBO YA KITOTO MBELE YA WATU WAZIMA (Bungeni)
■Ningeruhusu uhuru wa kuona bunge live na uhuru wakukosolewa TUKIKOSEA, NISINGEKUWA UNTOUCHABLE
■Ningetumbua majipu mpk viini
■Ningeomba ushauri kwa yaliyonishinda (sukari, wanafunzi/elimu, demokrasia n.k)
■NINGERUHUSU WASHAURI WANGU WANISHAURI NA SIO MIMI NIWASHAURI WAO
°
°
°
°
[emoji767]Lawrence Eliakim
[bold]WAPO[/bold]- Watu wapo mtaani wana vyeti OG.
- Watu wapo maofisini wana vyeti FEKI.
- Watu wapo maofisini hawafanyi kazi.
- WATU WAPO MTAANI WANATAKA KAZI.
#########SHIDA!!!!!!!!!!!