Itakuwa vizuri sana ila mleta mada huenda hujui pia causes za thamani ya fedha kupungua,
aje Dodoma awasaidie hawa wanaoomba barabarani hata kwa kuwafungulia kituo tuu au kuwa anawapa pension ya kila mwezi coz naona wananchi wameanza kuwanyanyasa kwa kigezo si wamemchagua wakaombe pesa chichiemu
Amegusia moja ya matatizo sasa hajui nini?mbona ww husemi kitu chochote.