Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kimsingi Rais wetu waweza kurudisha heshima ya UTUMISHI kama utakuwa na dhamira ya kweli kama ulivyokuwa unasema kwenye kampeni zako!
Hii ya kushtukiza kwenye ofisi za umma kama ulivyofanya inaweza kutia hamasa na utiifu na nidhamu kwa watumishi.

SASA hatua nyingine ungetembelea sio wizarani tu, hata:
1. kwa wizara ya elimu tembelea shule za UMMA ili uone kama walimu wanafundisha masheleni ama muda wa kazi wapo kwenye shule binafsi!
2. wizara ya "MAGONJWA" tembelea hospitali za umma ili ujionee kama madaktari wapo vituoni au wameenda kwenye maduka yao ya madawa baridi!
3......
4......
5.n.k

Ukiweza kuyafanyia utafiti wa kina Mh, utaweza kurejesha heshima ya utumishi wa Umma na HATA WAKIDAI NYONGEZA YA MISHAHARA WATAKUWA NA HAKI!
 
Hivi kitufe cha LIKE kimejificha wapi maana naona watu wananipa LIKE lakini mimi nikitaka kutoa sikioni. Wapi like jamani? Au imetengewa baadhi ya membazi? Hata hivyo pokea LIKE!
Hata mimi kitufe hiko pendwa cha LIKE hakipo.
Pamoja sana mkuu.
 
Prado ni $30000 na inahimili mikiki ila ukinunua hapa kwa wahindi wa toyota nbei sana
 

Nakuunga mkono mkuu
 
Prado ni $30000 na inahimili mikiki ila ukinunua hapa kwa wahindi wa toyota nbei sana

Mihimili si sana siku hizi. I wapo ile programu ya kupitisha greda kila mwaka vijajijini itafanyika. Huna haja ya prado. TI inafika vizuri tu. Kukubwa ilikuwa uchakachuaji.
 
Truely said!
 
Yani mheshimiwa Rais ukifanyia kazi mawazo chanya ya wadau humu, hakika Tanzania ya viwanda na neema ilee naiona
 
I agree . He should restore some credibility to our currency by curbing unnecessary government expenditure, make the central bank accountable for its inept decision making- i.e. allowing the shilling to depreciate by over 25% before tightening monetary policy and fully liberalize the capital markets.
 
Wizara ya afya =wizara ya magonjwa
Umetisha
 
hapo akifika ni kuomba kitabu cha mahudhulio na kukikagua. akiona watu hawajafika kazini hata anaita boss wao kazi hana.palepale iweje boss afike ofisini harafu wafanya kazi hawapo???.

harafu kingine watu kujaa ofisini sometimes sio ishu maana wanaweza wakawa wamejazana ofisini lakini unaweza ukaona wako busy kumbe wanachezea tuu computer wapo JF sijui FB wanachart tuu.badala ya kufanya kazi.
 
CCM haijaishiwa watu mpaka ikodi, Kwangu Lipumba alikuwa smart kuliko Slaa

Kila mmoja ni smart kwa nafasi yake. Lipman ni smart kwenye uchumi Slaa ni smart kwenye kusimamia misingi anakemea uovu bila woga. Slaa ni jasiri kuliko Lipman.
 
ni ushauri mzuri. pia magari ya serikali yatumike mwisho ijumaa. weekend yabaki tu kama waziri ana matumizi yake binafsi anunue lake....

Ni kweli utaratibu huu ulipangwa ndiyo maana walikopeshwa magari, ni wakati wa utekelezaji
 
Unadhani Magufuli ni mjinga hamjui huyo msaliti?
Slaa mwenzie ni Mzee Mwanakijiji,wengine wanamuogopa kama Israel mtoa roho.
Bunge ataishia kuliona kwenye tv kama raia wa kawaida

dadaaa kuna kipindi nilikua nakuona una akili ila huu mchakato mzima wa uchaguzi umenifanya niione oil chafu yote ilojaa kichwani mwako... punguza upumbavu bas mtu wangu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…