Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu naona umetupiapo ka number, unataka Mh. akufikirie walau ka ukuu wa wilaya wakati wa uteuzi ??Asante.
0713933736
Dr. Mahiga ameiwakilisha Tanzania kwa weledi na uzalendo wa hali ya juu. Anauwezo wa kusaidia Taifa kwenye wizara ya mambo ya nje. Mh. Rais taifa litafaidika vya kutosha chini ya Dr. Mahiga.
Rais kazi yake kufuta sheria ndio maana tunachagua wabunge aina ya kibajaji hatujui kazi za mbunge ni nini na kazi ya Rais ni nini.
naona hujamuelewa NgongoMara nyingi ktk bunge letu miswada mingi hupelekwa na serikali baada ya kuandaliwa na kujadiliwa na baraza la mawaziri chini ya uwenyekiti wa Rais.