mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
elimu ndio tatizo
Lazima apate nafasi.ACT ni ccm b. Ni fasta na usajili wa kudumu ili kudhoofisha upinzani/ushindani.Hakika huyu mama sio wakuachwa tu anapaswa kupewa nafasi aoneshe uwezo wake
Viongozi kuchota mali ya umma ulianza rasmi enzi za mzee ruksa, ndipo ukawa ni mfumo. Hakuna wa kudhibiti hali hiyo kwani mihimili 3 ya dola iliotegemewa kukaguana, bunge na mahakama haviko huru, uraisi ndio mambo yote.