Waliokuwa wanamsifia JK ni watumbuaji wakuu waliokuwa karibu naye.
Mwambie babako ahoji mamayo
Penye kusifia tusifie huyu mama ni hazina tuache siasa za maji taka.
kama ilivyo wana ukawa kushangilia kauli za Kagame
Lazima apate nafasi.ACT ni ccm b. Ni fasta na usajili wa kudumu ili kudhoofisha upinzani/ushindani.
Wengi wetu tumeguswa na jinsi ulivyoanza kazi, all we can say is KUDO'S.
Kinachofuatia ambacho wengi tungependa kukiona, na ambacho ni rahisi sana kuonekana na kuacha alama ya kumbukumbu, ni hizi Shangingi zilizojaa mjini, kwakweli kwa wengi zinatuumiza kuona matumizi yake yasivyokua na ulazima sana hata kwa watu ambao si lazima sana kuzitumia kwani zinanyonya hazina yetu bila kua na impact yoyote.
Kwakweli gharama za kuzihudumia hata kuzinunua ni juu sana na badala yake, sisi wanyonge tunashauri magari mengine yasiyo ya anasa sana wapewe hawa wakubwa zetu hawa ili watutumike vyema.
Mkuu Magufuli kuna hizi Rav 4 hizi ama hata toyota harrier kwa wale wakuu kabisa zitawatosha kabisa walau tusave pesa watoto waende shule na tupate vitanda mahospitalini.
Wengi wetu, tunahamu kuziona hizi shangingi hizi zikifutika hapa mjini, hakuna haja ya kuishi maisha ya anasa namna hii wakati wengi wetu mlo wa siku ni wa mashaka.
Asante mkuu Magufuli, natanguliza shukrani.
Ma dealers ndio balaa. Yaani wanatoa commission kubwa wacha tu kwa maafisa wanaoagiza hizo gari na bei inakua na cha juu ile mbaya. kutokana na hivyo wanaagiza hata kama waziri mkuu pinda akikataa analetewa gari jipya kwa nguvu. sasa magufuli anachotakiwa kufanya ni kuchagua gari za kawaida kwa serikali halafu kama ni gari 100 agency ya serikali inaagiza yenyewe toka foreign supplier au kiwandani. hapo utabakiza hela ya kusomesha watoto na change kibao. utakata bomba la unyonyaji. hapa kazi tu itakua kweli.Wengi wetu tumeguswa na jinsi ulivyoanza kazi, all we can say is KUDO'S.
Kinachofuatia ambacho wengi tungependa kukiona, na ambacho ni rahisi sana kuonekana na kuacha alama ya kumbukumbu, ni hizi Shangingi zilizojaa mjini, kwakweli kwa wengi zinatuumiza kuona matumizi yake yasivyokua na ulazima sana hata kwa watu ambao si lazima sana kuzitumia kwani zinanyonya hazina yetu bila kua na impact yoyote.
Kwakweli gharama za kuzihudumia hata kuzinunua ni juu sana na badala yake, sisi wanyonge tunashauri magari mengine yasiyo ya anasa sana wapewe hawa wakubwa zetu hawa ili watutumike vyema.
Mkuu Magufuli kuna hizi Rav 4 hizi ama hata toyota harrier kwa wale wakuu kabisa zitawatosha kabisa walau tusave pesa watoto waende shule na tupate vitanda mahospitalini.
Wengi wetu, tunahamu kuziona hizi shangingi hizi zikifutika hapa mjini, hakuna haja ya kuishi maisha ya anasa namna hii wakati wengi wetu mlo wa siku ni wa mashaka.
Asante mkuu Magufuli, natanguliza shukrani.
Service yake ni nouma na ni Toyota tu sio vinginevyo yaani service tu unanunua IST