Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
masuala ya Zanzibar ni ya kikatiba, waliridhia wenyewe kuwa na Serikali ya umoja wa kitaifa.

Anatekeleza ilani ipi?

Umesahaau Mbatia na Jussa walivyoingizwa bungeni na Kikwete? Kuna katiba iliyomkataza?
 

Mbowe alishagombea Urais akbwagwa vibaya sana kuliko mgombea yeyote aliyewahi kugombea Urais alibwagwa kwa zaidi ya asilimia 80. Kutoka hapo akagombea ubunge na sasa kagombea tena ubunge na kachaguliwa kwao huko.

Umesahau?
 
samaki mzuri ukimchanganya na walio oza-ccm nae ataoza,akichaguliwa na magufuli kama hulka ya mwadamu hasa mwanamke ilivyo atataka arudishe fadhira ndivyo ataanza kuharibu mambo.mwamwache mama yetu CCM IMEOZA HADI INATOA HARUFU,UMBUMBU WA WATANZANIA NDIO BADO UNAWAWEKA HAPO MLIPO.
 
Magufuli naona bora ampe Lowassa wizara ya Elimu. Elimu itakuwa bure mpaka chuo kikuu 

Huyo hajiwezi tena, tulivyomkata CCM tunaelewa na Watanzania walio wengi wameelewa.
 
Huyu mama kweli huyo vizuri
 
Mie namuomba Magufuli amteue David Kafulila kwenye nafasi ya wabunge wa kuteuliwa toka upinzani.
 
Kiutaratibu Magufuli akiwa kama rais anaweza akamteua Anna Mghirwa kama mbunge, lakini hawezi kumpatia nafasi ya uwaziri. Rais anatakiwa kunnda serikali yake kutoka kwa wabunge wa chama chake.

Si lazima Uwaziri, anaweza mteua kushika uenyekiti wa bodi ya taasisi yoyote ya kiuchumi kwa mfano TANESCO ili Anna aonyeshe ya ACT waliyoyasoma kwa Mahathir Muhammad.
 

Despite ACT ni CCM B but ukweli unabaki palepale huyu mama ni kichwa sana na hotuba yake nili ifatilia kwa makini ilikua fupi na yenye points hasa aliposema wagombea wote safari hii tulikua tunataka "mabadiliko" ambayo yatapatikana kutoka na "katiba mpya ya wananchi".

Bibi FaizaFoxy somtimes una akili sana hasa usipo kula ugoro.
 
Last edited by a moderator:
Yule mama ni kipusa aisee taifa letu changa haliwezi kukubali kupoteza kichwa kama kile kwa ushabiki wa vyama; apewe hata uspika wa bunge baada ya kuteuliwa ubunge wa nafasi kumi za rais

Naunga mkono hoja.
 
Huyo hajiwezi tena, tulivyomkata CCM tunaelewa na Watanzania walio wengi wameelewa.

tunashukuru tumepata mkatoliki tena mlokole mapepo yote yaliyokuwa yanafugwa ikulu yanaenda kusambaratishwa kwa jina la yesu na ikulu itarudi kwenye hadhi ya utakatifu kama alivyosema nyerere ikulu ni mahali patakatifu
 
Please Mr President mpe huyu mama kile kiti cha Mama Tanzania.sijui kama katiba inaruhusu kupewa uwaziri.
 
Mi naomba magufuli amtoe Basil mramba na apige marufuku ufukunyuaji wa ufisadi, haya ccm ndio wanaweza mengine mnawaonea tu.
 
Si lazima Uwaziri, anaweza mteua kushika uenyekiti wa bodi ya taasisi yoyote ya kiuchumi kwa mfano TANESCO ili Anna aonyeshe ya ACT waliyoyasoma kwa Mahathir Muhammad.

Hapo sawa kabisa FaizaFoxy pokea like yangu.
 
Huyu mama nimemkubali sana na sijui kwanini sikuwahi kumsikia kabla ya uchaguzi! Naunga mkono hoja ila natamani ateuliwe kuwa mbunge tuu na asipewe uwaziri maana ndani ya serikali ya ccm anaweza akaonekana tofauti kutokana na mfumo.

Angeweza kupewa viti maalumu vya ukawa kama viongozi wangefumbia macho tofauti zao na zzk. Vile vile mama regina apate, mke wa kafulila na mke wa wenje.
 

Dada Yangu Kipenzi Mimi Sishauri Apewe Cheo Chochote Kwani Hata Kikwete Tulimwomba Ampe Cheo James Mbatia Lakini Nadhani Uliona Shukrani Yake Kwake Kwa KUMTUKANA. Huruma Ya Kikwete Ndiyo IMEMUHARIBIA. Hako Ka Mama Hakatakuwa Na Tofauti Ya MNAFIKI ALIYETUKUKA Mbatia.
 
Huyu mama yuko fit hata kuliko Magufuli
 
Mbatia na jusa wamewaharibia, walipewa nafasi wakabinua midomo, kapambane jimboni ukishindwa kalime
 
Mh Mr President John Pombe Joseph Magufuli. Hongera kwa kua Raisi wa awamu ta 5 Mungu akujalie hekima utuongoze vyema.
Mbele yako ni sisi wanafunzi tunaoingua chuo mwaka huu was masomo katika fani mbalimbali. Please yelp us Sir.
Natanguliza shukrani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…