Hawa Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kila siku wanasema wanaandaa sera ya kukodisha nyumba na madalali lakini hatuoni kitu. Hii sera na sheria itayofuata ndo inayotakiwa iweke guideline zote hizi.
Rent ilipwe monthly maana hata wafanyakazi wanalipwa monthly, na kuwe na deposit ambayo ni rent ya mwezi mmoja. Mpangaji akimaliza au kuvunja mkataba na kuna uharibifu umefanyika basi mwenye nyumba anaitumia hiyo deposit kufanya marekebisho.
Hata hapo Kenya wanatumia huu utaratibu
Mbona ada mnalipa mwanzo mwa semester na hamlipi kila mwezi?
Hawa Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kila siku wanasema wanaandaa sera ya kukodisha nyumba na madalali lakini hatuoni kitu. Hii sera na sheria itayofuata ndo inayotakiwa iweke guideline zote hizi.
Rent ilipwe monthly maana hata wafanyakazi wanalipwa monthly, na kuwe na deposit ambayo ni rent ya mwezi mmoja. Mpangaji akimaliza au kuvunja mkataba na kuna uharibifu umefanyika basi mwenye nyumba anaitumia hiyo deposit kufanya marekebisho.
Hata hapo Kenya wanatumia huu utaratibu
Aisee mbona unanitusi, unaweza sema nimekukwaza wapi?Nenda ukapange Kenya kama vp? Unadhani Nyumba ni kama tako linakuja tu automatic ukivunjwa ungo!! Kama unakerwa sana na kodi olewa!
Aisee mbona unanitusi, unaweza sema nimekukwaza wapi?
Tufuate standard zinazoeleweka, unasign mkataba kuwa nitakaa mwaka kisha unalipa mwezi wa kwanza na wa mwisho na safety deposit.
Kisha kodi unailipia kila mwezi tena directly kwenye account maana cash wanakwepa kodi.

Sijui ni viroba au uelewa mdogo wa mambo tulionao baadhi ya watzMimi pia mpangaji ila hii mada ni ya kizembe sana...kama vipi serikali ijenge nyumba zake halafu ipangishe Na mlipe mnavyotaka..mali ya mtu binafsi huwezi kumpangia sheria utadhani amekulazimisha ukapange kwake.... Huu ni uzembe wa kifikra kama yule jamaa aliyetaka kulazimisha magari binafsi yabebe abiria vituoni ili kupunguza tatizo la usafiri
Hahahaha haya dada tumekusikia !Sijui ni viroba au uelewa mdogo wa mambo tulionao baadhi ya watz
Ukishajenga nyumba kwa minajili ya biashara (kupanfisha au kuuza) lazima ufanye kwa mujibu wa sheria. Mbona daladala au mabasi ya mikoani ni biashara binafsi na wanapingiwa nauli na mamlaka husika?
Usiishi kwa mazoea we dada!!
Kuna mijitu mizima ila mizembe sana kufikiri ! Akili Za kilevi Kama Za mtoa mada....baadae watataka serikali ipange hata bei Za kupangisha....mitanzania mizembe sanaInaonekana mnaogopa sana kulipa kodi kama VP msihame makwenu kaeni na wazee mpk mzeeke.
Wakilipishwa kodi mzigo WA kodi utabebwa na wapangaji
....kodi za nyumba pia zitapanda...
Taabu yote hii ya nini si ujenge ya kwako?
Mimi pia mpangaji ila hii mada ni ya kizembe sana...kama vipi serikali ijenge nyumba zake halafu ipangishe Na mlipe mnavyotaka..mali ya mtu binafsi huwezi kumpangia sheria utadhani amekulazimisha ukapange kwake.... Huu ni uzembe wa kifikra kama yule jamaa aliyetaka kulazimisha magari binafsi yabebe abiria vituoni ili kupunguza tatizo la usafiri
Taabu yote hii ya nini si ujenge ya kwako?