Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Hawa Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kila siku wanasema wanaandaa sera ya kukodisha nyumba na madalali lakini hatuoni kitu. Hii sera na sheria itayofuata ndo inayotakiwa iweke guideline zote hizi.
Rent ilipwe monthly maana hata wafanyakazi wanalipwa monthly, na kuwe na deposit ambayo ni rent ya mwezi mmoja. Mpangaji akimaliza au kuvunja mkataba na kuna uharibifu umefanyika basi mwenye nyumba anaitumia hiyo deposit kufanya marekebisho.
Hata hapo Kenya wanatumia huu utaratibu
Mbona ada mnalipa mwanzo mwa semester na hamlipi kila mwezi?