Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hawa Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kila siku wanasema wanaandaa sera ya kukodisha nyumba na madalali lakini hatuoni kitu. Hii sera na sheria itayofuata ndo inayotakiwa iweke guideline zote hizi.

Rent ilipwe monthly maana hata wafanyakazi wanalipwa monthly, na kuwe na deposit ambayo ni rent ya mwezi mmoja. Mpangaji akimaliza au kuvunja mkataba na kuna uharibifu umefanyika basi mwenye nyumba anaitumia hiyo deposit kufanya marekebisho.
Hata hapo Kenya wanatumia huu utaratibu

Mbona ada mnalipa mwanzo mwa semester na hamlipi kila mwezi?
 
Waswahili wenyewe wakorofi wakipewahiyo nafasi mwisho wa mwezi ukifika utasikia mimi nimepatwa na hili au lile itakuwa taabu nadhani mwisho maelewano hayatakuwepo.
 
Hawa Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kila siku wanasema wanaandaa sera ya kukodisha nyumba na madalali lakini hatuoni kitu. Hii sera na sheria itayofuata ndo inayotakiwa iweke guideline zote hizi.

Rent ilipwe monthly maana hata wafanyakazi wanalipwa monthly, na kuwe na deposit ambayo ni rent ya mwezi mmoja. Mpangaji akimaliza au kuvunja mkataba na kuna uharibifu umefanyika basi mwenye nyumba anaitumia hiyo deposit kufanya marekebisho.
Hata hapo Kenya wanatumia huu utaratibu

Nenda ukapange Kenya kama vp? Unadhani Nyumba ni kama tako linakuja tu automatic ukivunjwa ungo!! Kama unakerwa sana na kodi olewa!
 
Safi sana, naunga mkono. Licha ya kwamba nami nimepangisha mtu kwa kodi ya miezi 6 kutokana na mazoea na uhuru tulionao wenye nyumba, naona kukiwa na sheria ya kumtazama mnyonge tutatenda haki. Mfanya biashara yeyote akiachwa huru haangalii wengine, ataangalia pesa.

Tukumbuke kwamba kila anayepangisha wenzake naye siku moja atapangishwa mahali pengine. Leo kwake na kesho kwangu.
 
Mimi pia mpangaji ila hii mada ni ya kizembe sana...kama vipi serikali ijenge nyumba zake halafu ipangishe Na mlipe mnavyotaka..mali ya mtu binafsi huwezi kumpangia sheria utadhani amekulazimisha ukapange kwake.... Huu ni uzembe wa kifikra kama yule jamaa aliyetaka kulazimisha magari binafsi yabebe abiria vituoni ili kupunguza tatizo la usafiri
 
Tufuate standard zinazoeleweka, unasign mkataba kuwa nitakaa mwaka kisha unalipa mwezi wa kwanza na wa mwisho na safety deposit.

Kisha kodi unailipia kila mwezi tena directly kwenye account maana cash wanakwepa kodi.

Wakilipishwa kodi mzigo WA kodi utabebwa na wapangaji
....kodi za nyumba pia zitapanda...
 
Soko Huria Mwenye nyumba akitaka hata kodi ya Miaka mi5 hakuna wa kumzuia,mshauri Pombe ajenge nyumba hili wananchi tupange na tulipe mwezi kwa mwezi.
 
Inaonekana mnaogopa sana kulipa kodi kama VP msihame makwenu kaeni na wazee mpk mzeeke.
 
Tufuate standard zinazoeleweka, unasign mkataba kuwa nitakaa mwaka kisha unalipa mwezi wa kwanza na wa mwisho na safety deposit.

Kisha kodi unailipia kila mwezi tena directly kwenye account maana cash wanakwepa kodi.

Lipa kodi hutaki jenga yako, sio mwenzio ajenge we hela yako kula maandazi tu..!!
 
Mimi pia mpangaji ila hii mada ni ya kizembe sana...kama vipi serikali ijenge nyumba zake halafu ipangishe Na mlipe mnavyotaka..mali ya mtu binafsi huwezi kumpangia sheria utadhani amekulazimisha ukapange kwake.... Huu ni uzembe wa kifikra kama yule jamaa aliyetaka kulazimisha magari binafsi yabebe abiria vituoni ili kupunguza tatizo la usafiri
Sijui ni viroba au uelewa mdogo wa mambo tulionao baadhi ya watz
Ukishajenga nyumba kwa minajili ya biashara (kupanfisha au kuuza) lazima ufanye kwa mujibu wa sheria. Mbona daladala au mabasi ya mikoani ni biashara binafsi na wanapingiwa nauli na mamlaka husika?
Usiishi kwa mazoea we dada!!
 
Hahahaha haya dada tumekusikia !
 
Inaonekana mnaogopa sana kulipa kodi kama VP msihame makwenu kaeni na wazee mpk mzeeke.
Kuna mijitu mizima ila mizembe sana kufikiri ! Akili Za kilevi Kama Za mtoa mada....baadae watataka serikali ipange hata bei Za kupangisha....mitanzania mizembe sana
 
Wakilipishwa kodi mzigo WA kodi utabebwa na wapangaji
....kodi za nyumba pia zitapanda...

Mjadala kama huu ni mzuri, ila mnatakiwa mfahamu kujenga ni kuogopa maisha. DAIWA KODI ILI UKAPAMBANE ACHA UOGA.
 
Mimi pia mpangaji ila hii mada ni ya kizembe sana...kama vipi serikali ijenge nyumba zake halafu ipangishe Na mlipe mnavyotaka..mali ya mtu binafsi huwezi kumpangia sheria utadhani amekulazimisha ukapange kwake.... Huu ni uzembe wa kifikra kama yule jamaa aliyetaka kulazimisha magari binafsi yabebe abiria vituoni ili kupunguza tatizo la usafiri

kila kitu duniani unachofanya kina be controlled na serikali labda kufanya mapenzi na mke wako tu ndo hutapangiwa.nyumba ni yako ila ardhi ni ya serikali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom