commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,956
Nenda ukapange Kenya kama vp? Unadhani Nyumba ni kama tako linakuja tu automatic ukivunjwa ungo!! Kama unakerwa sana na kodi olewa!
Nenda ukapange Kenya kama vp? Unadhani Nyumba ni kama tako linakuja tu automatic ukivunjwa ungo!! Kama unakerwa sana na kodi olewa!
Tufuate standard zinazoeleweka, unasign mkataba kuwa nitakaa mwaka kisha unalipa mwezi wa kwanza na wa mwisho na safety deposit.
Kisha kodi unailipia kila mwezi tena directly kwenye account maana cash wanakwepa kodi.
Acha matusi ya kijinga hizi nyumba hapa duniani ni mapito tu... Si ajabu kesho ukamuacha unayemtusi humu JF kwa ajili ya nyumba ya tofali ukatangulia nyumba ya kudumu KABURINI busara na hekima ni vitu muhimu sana hapa duniani,
Unaweza kununua nyumba lakini huwezi kununua Familia
Hata mimi nashangaa!!Taabu yote hii ya nini si ujenge ya kwako?
Huku unakoelekea utasababisha bakhresa atulazimishe tunywe juice zake badala ya kunywa za nje ya nchi, vitu vingine ni uzalendo na utashi wa mtu mwenyeweTufuate standard zinazoeleweka, unasign mkataba kuwa nitakaa mwaka kisha unalipa mwezi wa kwanza na wa mwisho na safety deposit.
Kisha kodi unailipia kila mwezi tena directly kwenye account maana cash wanakwepa kodi.
I opt to ignore you!
Sijui ni viroba au uelewa mdogo wa mambo tulionao baadhi ya watz
Ukishajenga nyumba kwa minajili ya biashara (kupanfisha au kuuza) lazima ufanye kwa mujibu wa sheria. Mbona daladala au mabasi ya mikoani ni biashara binafsi na wanapingiwa nauli na mamlaka husika?
Usiishi kwa mazoea we dada!!
kila kitu NI mapito!
usiishiwe hoja kiasi hicho!
""tuache misemo ya kimasikini ya kujifariji""
Wewe ndiye mzembe wa mwisho. Halafu inaonyesha wewe ni mwenye nyumba. Tanzania kuna vitu vingi sana vinakiuka sheria na hili ni mojawapo. Ukijenga nyumba na ukiamua kuingia kwenye biashara ya kupangisha ni LAZIMA ufuate masharti na kanuni UTAKAZOPANGIWA na mamlaka na sio kanuni zako. Ni biashara zote.. hoteli, magari nk. Huwezi kusema hili gari ni langu hivyo nitafanya nitakavyo!Mimi pia mpangaji ila hii mada ni ya kizembe sana...kama vipi serikali ijenge nyumba zake halafu ipangishe Na mlipe mnavyotaka..mali ya mtu binafsi huwezi kumpangia sheria utadhani amekulazimisha ukapange kwake.... Huu ni uzembe wa kifikra kama yule jamaa aliyetaka kulazimisha magari binafsi yabebe abiria vituoni ili kupunguza tatizo la usafiri
Tumieni basi hata ubongo kidogo! Biashara ya kukodisha nyumba ni LAZIMA ina sheria na kanuni zake! Kama hutaki inabidi upangishie popo walale ndani!Magari ya usafiri wa abiria yanaitwa public transport ningedhani usichanganye na nyumba, maana tunakotaka kwenda baadaye tutataka serikali ipange na bei ya mchele sokoni na dhana ya soko huria itakuwa imeshakufa, kama vipi serikali ijenge nyumba ipangishe maana hata national housing sasa hivi inajiendesha kibiashara ndio maana imeanza kuinuka.
Sio vitu vyote vinataka regulation ya serikali
Tuwe wakweli, mpaka Sasa serikali inapoteza pesa nyingi sana katika hii issue ya upangishaji nyumba, kwanza hawalipi kodi husika Kwa TRA na unakuta mtu moja anamiliki nyumba zaidi ya kumi.Tumieni basi hata ubongo kidogo! Biashara ya kukodisha nyumba ni LAZIMA ina sheria na kanuni zake! Kama hutaki inabidi upangishie popo walale ndani!
Dar kodi za nyumba ni expensive kuliko mji wowote east africa, nairobi wenyewe wanasubiri bei za dar
Dar kodi za nyumba ni expensive kuliko mji wowote east africa, nairobi wenyewe wanasubiri bei za dar