Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Nenda ukapange Kenya kama vp? Unadhani Nyumba ni kama tako linakuja tu automatic ukivunjwa ungo!! Kama unakerwa sana na kodi olewa!

Acha matusi ya kijinga hizi nyumba hapa duniani ni mapito tu... Si ajabu kesho ukamuacha unayemtusi humu JF kwa ajili ya nyumba ya tofali ukatangulia nyumba ya kudumu KABURINI busara na hekima ni vitu muhimu sana hapa duniani,
Unaweza kununua nyumba lakini huwezi kununua Familia
 
Nenda ukapange Kenya kama vp? Unadhani Nyumba ni kama tako linakuja tu automatic ukivunjwa ungo!! Kama unakerwa sana na kodi olewa!

Wew hata kibanda huna unamtusi mwenzio bila kosa, kuwa na busara bwana
 
Tufuate standard zinazoeleweka, unasign mkataba kuwa nitakaa mwaka kisha unalipa mwezi wa kwanza na wa mwisho na safety deposit.

Kisha kodi unailipia kila mwezi tena directly kwenye account maana cash wanakwepa kodi.

Jenga yakwako alafu serekali ikupangie jinsi wapangaji watakavyo kulipa na wakupangie kiasi kwa kila mwezi.Ndiyo maana kunakuwa na soko huria.
 
Acha matusi ya kijinga hizi nyumba hapa duniani ni mapito tu... Si ajabu kesho ukamuacha unayemtusi humu JF kwa ajili ya nyumba ya tofali ukatangulia nyumba ya kudumu KABURINI busara na hekima ni vitu muhimu sana hapa duniani,
Unaweza kununua nyumba lakini huwezi kununua Familia

kila kitu NI mapito!
usiishiwe hoja kiasi hicho!
""tuache misemo ya kimasikini ya kujifariji""
 
Tufuate standard zinazoeleweka, unasign mkataba kuwa nitakaa mwaka kisha unalipa mwezi wa kwanza na wa mwisho na safety deposit.

Kisha kodi unailipia kila mwezi tena directly kwenye account maana cash wanakwepa kodi.
Huku unakoelekea utasababisha bakhresa atulazimishe tunywe juice zake badala ya kunywa za nje ya nchi, vitu vingine ni uzalendo na utashi wa mtu mwenyewe
 
Sijui ni viroba au uelewa mdogo wa mambo tulionao baadhi ya watz
Ukishajenga nyumba kwa minajili ya biashara (kupanfisha au kuuza) lazima ufanye kwa mujibu wa sheria. Mbona daladala au mabasi ya mikoani ni biashara binafsi na wanapingiwa nauli na mamlaka husika?
Usiishi kwa mazoea we dada!!

Magari ya usafiri wa abiria yanaitwa public transport ningedhani usichanganye na nyumba, maana tunakotaka kwenda baadaye tutataka serikali ipange na bei ya mchele sokoni na dhana ya soko huria itakuwa imeshakufa, kama vipi serikali ijenge nyumba ipangishe maana hata national housing sasa hivi inajiendesha kibiashara ndio maana imeanza kuinuka.

Sio vitu vyote vinataka regulation ya serikali
 
kila kitu NI mapito!
usiishiwe hoja kiasi hicho!
""tuache misemo ya kimasikini ya kujifariji""

Matusi sio hoja Bali ni sehemu ya ujinga, tatizo humu tangu lowassa ameshindwa kuingia ikulu basi kila hoja ikimtaja magufuli basi mikurupukaji yoote mnaleta hasira za viroba hapa JF.
Tanzania mpya itajengwa na wenye moyo wa uzalendo na sio wachukia umaskini wazee wa short cuts toka haisystem

Aibuuuuuu!
 
ombeni serikali iwajengee mlipie kwa mwezi au mkachukue mortage mlipe kwa mwezi hadi mkopo uishe ila mkiendelea kukaa kwenye majumba ya watu mtalipa tu! kwa style wanayotaka hamna namna.
 
Mimi pia mpangaji ila hii mada ni ya kizembe sana...kama vipi serikali ijenge nyumba zake halafu ipangishe Na mlipe mnavyotaka..mali ya mtu binafsi huwezi kumpangia sheria utadhani amekulazimisha ukapange kwake.... Huu ni uzembe wa kifikra kama yule jamaa aliyetaka kulazimisha magari binafsi yabebe abiria vituoni ili kupunguza tatizo la usafiri
Wewe ndiye mzembe wa mwisho. Halafu inaonyesha wewe ni mwenye nyumba. Tanzania kuna vitu vingi sana vinakiuka sheria na hili ni mojawapo. Ukijenga nyumba na ukiamua kuingia kwenye biashara ya kupangisha ni LAZIMA ufuate masharti na kanuni UTAKAZOPANGIWA na mamlaka na sio kanuni zako. Ni biashara zote.. hoteli, magari nk. Huwezi kusema hili gari ni langu hivyo nitafanya nitakavyo!
 
Magari ya usafiri wa abiria yanaitwa public transport ningedhani usichanganye na nyumba, maana tunakotaka kwenda baadaye tutataka serikali ipange na bei ya mchele sokoni na dhana ya soko huria itakuwa imeshakufa, kama vipi serikali ijenge nyumba ipangishe maana hata national housing sasa hivi inajiendesha kibiashara ndio maana imeanza kuinuka.

Sio vitu vyote vinataka regulation ya serikali
Tumieni basi hata ubongo kidogo! Biashara ya kukodisha nyumba ni LAZIMA ina sheria na kanuni zake! Kama hutaki inabidi upangishie popo walale ndani!
 
Tumieni basi hata ubongo kidogo! Biashara ya kukodisha nyumba ni LAZIMA ina sheria na kanuni zake! Kama hutaki inabidi upangishie popo walale ndani!
Tuwe wakweli, mpaka Sasa serikali inapoteza pesa nyingi sana katika hii issue ya upangishaji nyumba, kwanza hawalipi kodi husika Kwa TRA na unakuta mtu moja anamiliki nyumba zaidi ya kumi.
Watu wakisema kweli mnaleta bla bla hapa ni lazima jipu litumbuliwe tu
 
Mheshimiwa rais, nikupongeze kwa juhudi zako tangu umeapishwa na watanzania tunakuombea afya njema na ulinzi wa mwenyezi mungu. Tunaomba serikali kupitia wizara yake ya makazi iangalie upya bei za kodi za nyumba kwa jiji la Dar.

Bei zimekuwa zikipanda kila kukicha bila utaratibu na hazilingani na ubora wa nyumba. Mbaya zaidi hakuna taasisi yoyote chini ya wizara ya makazi inayohusika kutatua suala hili.

Tunaomba wamiliki wa nyumba nao walipe kodi pamoja na madalali kwani hii ni biashara kama biashara zingine.

Hali ni mbaya na walio wengi wanashindwa kumudu bei za nyumba na kuongeza ugumu wa maisha na umaskin kwa ujumla.
 
Wamiliki wakilipa kodi mzigo unamrudia mpangaji.

Nadhani kwanza tuzungumzie bei elekezi za viwanja kabla ya hizo za pango. Kiwanja kikiwa ghali lazima pango iwe ghali.
 
Dar kodi za nyumba ni expensive kuliko mji wowote east africa, nairobi wenyewe wanasubiri bei za dar

Mkuu sijakupata vizuri, ina maana jamaa zetu wanasubiri bei zetu ili nao wajiripue au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom