Na aendelee kutumia ilani na sera za ukawa maana ndy anawasomesha # lumumbazKwa ubora wa rais tulienae nakubaliana na wewe kabisa kwa asilimia kubwa tu. Hivi vichwa viwili vinatosha kabisa kuendesha nchi hii, yani rais na PM wake tu.
Ila kwa kuwa rais kaapa kuilinda katiba ya nchi, lazima afanye uteuzi wa mawaziri na manaibu kama katiba inavyo elekeza.
Huu ni mtazamo wangu. Napendekeza hawa mawaziri wasiwepo awepo waziri mkuu tu ambaye atakuwa anawakilisha shughuli za serikali bungeni. Mimi naona mawaziri wako kisiasa zaidi, maana raisi wetu anajaribu kupunguza matumizi ni bora kusiwepo na baraza la mawaziri ili tusonge mbele.
Ni maoni yangu tu.
Yap. Na itakuwa vizuri sana ili kazi ziende mbele.Ni wazo zuri. Kwa hiyo ikifika kipindi cha Bunge la bajeti makatibu waende bungeni kuwasilisha bajeti zao, au vipi.
Yap. Na itakuwa vizuri sana ili kazi ziende mbele.
Kwa kasi aliyonayo si ajabu Ukawa wakapendekeza ichapishwe noti yenye ubora na yenye kichwa cha Magufuli ili tubaki na kumbukumbu!
Yaacheni yatawale!
Zile sarafu za sh 500 kuna watu walikuwa wanazinunua sh 4000 kwa moja, sijui walikuwa wanazipeleka wapi ila ilikuwa inasemekana walikuwa wanazitumia kama silverKwani zile sarafu za 500 ziko wapi, ziliondolewa au ?
Zile sarafu za sh 500 kuna watu walikuwa wanazinunua sh 4000 kwa moja, sijui walikuwa wanazipeleka wapi ila ilikuwa inasemekana walikuwa wanazitumia kama silver
Binafsi naumia sana kuendesha nchi kwa maamuzi binafsi,BOT wamekuwa vinara wa matumizi na uchapaji fedha ambazo hazikidhi matakwa na ubora wa matumizi,ukiangalia sarafu ya sh 500 imeingia kwenye mzunguko na baada ya miezi chache haiko tena,pia noti mpya kuanzia sh 500~10,000zilitengenezwa chini ya kiwango hivyo kuingiza hasara taifa kutokana na kuhitaji marekebisho ya kila mara,hii ni kama hujuma kwa uchumi wetu,tafadhari mh. rais naomba uliangalie hili kwa macho matatu
Mkuu hizo noti zimefanyiws marekebisho gani na lini?