Hizi ni taarifa za uhakika?Naanza na wachache
1. Shubashi Patel
2. Salum Mpuchu
3. RA
4. R1
5. Home Shopping Centre
6. GMS
Ongeza unao wajua
Hizi ni taarifa za uhakika?
Wadau, nmekuwa nikifuatilia sana mchakato wa rais mpya wa tanganyika... Maana Zenji bado kuna mgogoro lkn naona kama kwenye donda ndugu anapakwepa kiaina flani. Namuomba atie maguu Tanzania Electric Company. Kuwadadavua kama kweli kapania kuirekebisha hii nchi na pia namuomba ahakikishe gharama za umeme, mafuta, vyakula na vifaa vya ujenzi vinashuka ili kuwakomboa watz wa kipato cha chini.
Nawakilisha.....
regina mengi.
Weka ushahidi na vielelezo watu wachukue hatua usiongee tu kama mnywa viroba.Au umeshakolea tayari?Naanza na wachache;
1. Shubashi Patel
2. Salum Mpuchu
3. RA
4. R1
5. Home Shopping Centre
6. GMS
Ongeza unao wajua
posta kazi yao ni kupost barua zenu