lad3
Senior Member
- May 25, 2014
- 185
- 35
Kwa nini hata umpe ushauri/ utoe rai wakati wewe ulishajipambanua kuwa si mwana CCM?
Mimi nataka huyo Magufuli afeli kabisa katika utawala wake ili watu waisome namba kwamba CCM siyo suluhisho la matatizo ya kiuchumi waliyonayo.
Nataka huyo bwana awe rais wa muhula mmoja tu.
Hivyo kamwe sitampa ushauri wowote ule utakamfanya aboreshe utawala wake.
I want him to fail.
una mawazo kama yangh yaani kuna watu wananiudhi, wanajidai wnaijua ccm kuliko ccm inavojijua,yaani mtu hana mbele wala nyuma anashabikia ccm,,yaani basi tu naomba tunyooke kwanza akili zao zikae sawa sawa,,,,ile ile