Kimsingi Rais wetu waweza kurudisha heshima ya UTUMISHI kama utakuwa na dhamira ya kweli kama ulivyokuwa unasema kwenye kampeni zako!
Hii ya kushtukiza kwenye ofisi za umma kama ulivyofanya inaweza kutia hamasa na utiifu na nidhamu kwa watumishi.
SASA hatua nyingine ungetembelea sio wizarani tu, hata:
1. kwa wizara ya elimu tembelea shule za UMMA ili uone kama walimu wanafundisha masheleni ama muda wa kazi wapo kwenye shule binafsi!
2. wizara ya "MAGONJWA" tembelea hospitali za umma ili ujionee kama madaktari wapo vituoni au wameenda kwenye maduka yao ya madawa baridi!
3......
4......
5.n.k
Ukiweza kuyafanyia utafiti wa kina Mh, utaweza kurejesha heshima ya utumishi wa Umma na HATA WAKIDAI NYONGEZA YA MISHAHARA WATAKUWA NA HAKI!