Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hbr zenu uwaungwana,

Sisi huku wilaya ya Nyasa ile habari ya hapa kazi tu haipo kabisa kwanini nasema hivyo sasa yapata miezi mitatu tulijaza fomu za mikopo benki cha kushangaza fomu zote zimekwama kwa mkurugenzi wilaya ya Nyasa.

Tumefuatilia majibu tunayopewa mara ya kwanza tulikuwa tunaambiwa system mbovu sasa tunaambiwa password imepotea hivyo wameshindwa kuingiza makato. Sasa tunakwenda mwezi wa tatu wafanyakazi wote wilaya ya Nyasa hatuelewi nini hatima ya maisha yetu na ndiyo maana nikasema hapa kazi tu Nyasa haipo.

subiri mikataba mipya ya ajira za mkataba sio hizo za kudumu, inawezekana mwaka kesho ukawa huna kazi hiyo, mshahara utakuwa sio dhamana tena, teh
 
Ccm ni ile ile na wdtachunguzana halafu kesi itafunguliwa 2020 wakati wa kampeni. Mwisho watatozwa faini ambazo ni sawa na hela za kununulia nyanya. Sidhani kuna haja ya kusimamishana kazi hapo. Hatua za kusweka watu lupango zifuatwe
 
Wapigwe lockup kabisa.mambo ya natural justice yawekwe pembeni kwanza watu washikishwe adabu.zama za mkwere zimeisha
 
Hbr zenu uwaungwana,

Sisi huku wilaya ya Nyasa ile habari ya hapa kazi tu haipo kabisa kwanini nasema hivyo sasa yapata miezi mitatu tulijaza fomu za mikopo benki cha kushangaza fomu zote zimekwama kwa mkurugenzi wilaya ya Nyasa.

Tumefuatilia majibu tunayopewa mara ya kwanza tulikuwa tunaambiwa system mbovu sasa tunaambiwa password imepotea hivyo wameshindwa kuingiza makato. Sasa tunakwenda mwezi wa tatu wafanyakazi wote wilaya ya Nyasa hatuelewi nini hatima ya maisha yetu na ndiyo maana nikasema hapa kazi tu Nyasa haipo.

Nae huyo mama utamuita Kiongozi kweli, huyu mama taasisi yoyote isipotoa rushwa na adui number moja kwenye Wilaya yake na yule anayetoa rushwa kiraisi ndie rafiki mkuu
Ninatamani wamrudishe huko alipotoka tuu
 
Rais Magufuli kwanini wananchi tunaambiwa kulipia vitu kwa dolla za kimarekani? Mfano kupanga nyumba nk.
Tunaomba hii izuiwe na ingependeza bei iwe kwenye Tsh kwa bidhaa zote hadi mahotelini.
 
Kwani tatizo nini, pesa ni pesa tu, ukinicharge hata kwa hela ya Zimbabwe is Ok, muhimi iwe rate sahihi tu
 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Rais Magufuli kwanini wananchi tunaambiwa kulipia vitu kwa dolla za kimarekani? Mfano kupanga nyumba nk.
Tunaomba hii izuiwe na ingependeza bei iwe kwenye Tsh kwa bidhaa zote hadi mahotelini.
Mbona hata reference!!???!! Hakuna.
 
Yas Wakuu Jimbo Letu Liko Kwenye Mkoa Wa Kilimanjaro Unaosifika Kwa Uchumi Wa Juu Lakini Wilaya Hii Ya Mwanga Inaweza Kuwa Chini Kiuchumi Ukilinganisha Na Wilaya Ya Tangahimba Newala Na Hata Singida Vijijini Kwenye Matembe Mengi Tu

Wakuu Wilaya Ya Mwanga Haina Chanzo Chochote Cha Ajira Na Hata Ardhi Yake Ni Ya Milima Hivyo Haifai Hata Kwa Kilimo
Ukiacha Kiwanda Cha Kutengeneza Pombe Kali Cha Bepari La Kihindi Kisichotoa Ajira Kwa Wakazi Wa Mwanga Hakuna Fursa Yeyote Vijana Wamwanga Wamejazana Stendi Wakiuza Maji Kwa Wasafiri Na Wengine Wamesepa

Wito Kwa Rais Usimpe Cheo Cha Uwaziri Mbunge Wangu Prf. Maghembe Ili Akishirikiana Na Dc Shwaibu Ndemanga Watengeneze Fursa Za Ajira Wilayani Humu Chonde Sana Rais Wangu
 
Apartment zake anapangisha kwa dolla au shillingi?
 
Mhe kwa heshima kubwa Tunaomba uingilie kati Sekta binfsi zimezidi unyanyasaji pia Idara ya kazi kuegemea kwa Waajiri tunaomba bila kupendelea uweke usawa Pia nafasi za Wazawa kuchukuliwa na wageni
Hii ni kusaidia kupunguza tatizo la ajira
Nini maoni yako?
 
Kwani tatizo nini, pesa ni pesa tu, ukinicharge hata kwa hela ya Zimbabwe is Ok, muhimi iwe rate sahihi tu

Unapo charge bidhaa kwa kutumia pesa nyingine implicitly una ua currency ya nchi yako. Na unaua ajira kibao.
Transaction ni biashara kubwa inayoweza toa ajira nyingi.

Mfano unapokuwa na watalii wana dola zao, inabidi hotel wapate ajira, wale tour guard wapate ajira na wale wenye office za ku exchange wapate ajira pia. Bila hivyo, basi wale wenye office za exchange watategemea watanzania tu wanaponunua vitu nje yani export tu, kitu ambacho sio kizuri naamini.
 
Yas Wakuu Jimbo Letu Liko Kwenye Mkoa Wa Kilimanjaro Unaosifika Kwa Uchumi Wa Juu Lakini Wilaya Hii Ya Mwanga Inaweza Kuwa Chini Kiuchumi Ukilinganisha Na Wilaya Ya Tangahimba Newala Na Hata Singida Vijijini Kwenye Matembe Mengi Tu

Wakuu Wilaya Ya Mwanga Haina Chanzo Chochote Cha Ajira Na Hata Ardhi Yake Ni Ya Milima Hivyo Haifai Hata Kwa Kilimo
Ukiacha Kiwanda Cha Kutengeneza Pombe Kali Cha Bepari La Kihindi Kisichotoa Ajira Kwa Wakazi Wa Mwanga Hakuna Fursa Yeyote Vijana Wamwanga Wamejazana Stendi Wakiuza Maji Kwa Wasafiri Na Wengine Wamesepa

Wito Kwa Rais Usimpe Cheo Cha Uwaziri Mbunge Wangu Prf. Maghembe Ili Akishirikiana Na Dc Shwaibu Ndemanga Watengeneze Fursa Za Ajira Wilayani Humu Chonde Sana Rais Wangu

Yaani Wilaya ya Mwanga iwe sawa na Tandahimba kiuchumi, are you serious? Asilimia 80 ya Korosho yote ya Tanzania inalimwa mkoa wa Mtwara na asilimia 70 ya korosho ya Mtwara inatoka Tandahimba. Tandahimba ina uchumi mkubwa kuliko Mwanga for sure. Ukisema kwa level ya elimu Mwanga iko juu, lakini uchumi na kwa maana hiyo Per Capita!
 
Yas Wakuu Jimbo Letu Liko Kwenye Mkoa Wa Kilimanjaro Unaosifika Kwa Uchumi Wa Juu Lakini Wilaya Hii Ya Mwanga Inaweza Kuwa Chini Kiuchumi Ukilinganisha Na Wilaya Ya Tangahimba Newala Na Hata Singida Vijijini Kwenye Matembe Mengi Tu

Wakuu Wilaya Ya Mwanga Haina Chanzo Chochote Cha Ajira Na Hata Ardhi Yake Ni Ya Milima Hivyo Haifai Hata Kwa Kilimo
Ukiacha Kiwanda Cha Kutengeneza Pombe Kali Cha Bepari La Kihindi Kisichotoa Ajira Kwa Wakazi Wa Mwanga Hakuna Fursa Yeyote Vijana Wamwanga Wamejazana Stendi Wakiuza Maji Kwa Wasafiri Na Wengine Wamesepa

Wito Kwa Rais Usimpe Cheo Cha Uwaziri Mbunge Wangu Prf. Maghembe Ili Akishirikiana Na Dc Shwaibu Ndemanga Watengeneze Fursa Za Ajira Wilayani Humu Chonde Sana Rais Wangu

Wacha tu ampe uwaziri amalizie mradi wa maji kwenda Dar, Magufuli kishabomoa ile nyumba ya mwana Ukawa kama alivyoahidi kwenye Kampeni.

#Hapakazitu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom