Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Hbr zenu uwaungwana,
Sisi huku wilaya ya Nyasa ile habari ya hapa kazi tu haipo kabisa kwanini nasema hivyo sasa yapata miezi mitatu tulijaza fomu za mikopo benki cha kushangaza fomu zote zimekwama kwa mkurugenzi wilaya ya Nyasa.
Tumefuatilia majibu tunayopewa mara ya kwanza tulikuwa tunaambiwa system mbovu sasa tunaambiwa password imepotea hivyo wameshindwa kuingiza makato. Sasa tunakwenda mwezi wa tatu wafanyakazi wote wilaya ya Nyasa hatuelewi nini hatima ya maisha yetu na ndiyo maana nikasema hapa kazi tu Nyasa haipo.
subiri mikataba mipya ya ajira za mkataba sio hizo za kudumu, inawezekana mwaka kesho ukawa huna kazi hiyo, mshahara utakuwa sio dhamana tena, teh