Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Wanabodi,
Amani iwe kwenu!

Tangu kuchaguliwa kwa Rais wa awamu ya tano,tumeshuhudia akiendeleza matukio km ilivyokuwa wakati wa kampeni.

Rais wetu anataka kujaribu kuendesha nchi kwa matukio,sina hakika sana ya kitakachotokea baadae ingawa ningeomba tupate matokeo chanya zaidi kwa kile anachokifanya.

Kuna wakati naona km ni mwendelezo tu wa sinema za ccm! Kuthibitisha hili,ndo maana natamani Rais wangu afanye ziara ya kushitukiza ktk wizara ya ujenzi ambayo yeye alikuwa boss huko. Baada ya hapo atakuwa ametushawishi wengi kwenda na kasi yake. Vinginevyo,huu nao utakuwa muendelezo wa push-up.

Nawasilisha!
 
Naanza na wachache;

1. Shubashi Patel

2. Salum Mpuchu

3. RA

4. R1

5. Home Shopping Centre

6. GMS

Ongeza unao wajua

Eneo Lingine kwenye upotevu wa kodi ni kwenye NGOs hasa International NGOs


Experts wote wa kwenye NGOs za kimataifa.
Yaani fedha wanazozipata hapa Tanzania wanaingiziwa kwenye account zao huko huko Ulaya na wanalipwa fedha nyingi sana kutoka Tanzania.usipojipanga watakwambia wako exempted .lakini ukweli ni kwamba NGOs iko exempted lakini siyo mapato ya mishahara ya wafanyakazi.mbona wabongo wanawakata kodi

Pili kuna vikamputi vingi au watu binafsi wa nje wanafanya consultancy Tanzania na wanalipwa madola mengi sana.ila wanazituma moja kwa moja kwenye account zao huko nje na kodi nyingi sana inapotea.hawa wanaingia nchini kwa kivuli cha utalii .lakini wakiwa nchini wanafanya hizo shughuli za kujiingizia hela.wachache sana wanao weza kulipia CTA.lakini siyo kodi ya mapato.halafu tatizo letu tunawaogopa sana wazungu na wao wanalijua hilo.kwamba hawawezi ulizwa zaidi ya work permit.ambao wengi wanazo.ila kuhusu kodi siyo rahisi.wengine watakwambia kuna bi lateral agreement ya double taxation kwa hiyo kodi inalipwa kwao.lakini mara nyingi huwa ni uongo.

Labda serikali ingetuambia tupeleke wapi hiyo taatifa ya wakwepa kodi
 
Wakuu nimekuwa mkereketwa sana na hili jipu la nhc litapasuliwa lini mbona naona mkuu anachelewa wapiga dili wanazidi kunufaika ni hili shirika raisi wangu popote ulipo huyu mgosi alivyochuma na kuiba vinatosha na naomba asiachwe hivi hivi tu afilisiwe.

Mmmmh hili jipu lipo mwilini mwake,tusubiri wa kulitumbua sio yeye
 
Bilioni 97 zimeokolewa hadi sasa. Hii ni pesa ya mlipa kodi ambayo tayari ilipangwa kutumiwa na watendaji kwenda nje ya nchi na ilikuwa ikisubiri kuidhinishwa tu na signatories. Ila ujio wa Dkt Magufuli umeokoa pesa zote hizi.

Ukiwa unaendelea kumdhihaki Dkt Magufuli hapa, yeye anaendelea kubana mianya ya upigaji hela iliyokuwa ikitumiwa na watendaji wa serikali na kuzidisha nguvu zaidi katika makusanyo ya kodi. Lengo ni kutimiza kila ahadi aliyoahidi wakati wa kampeni.

Hadi sasa navyoandika hapa, shule zote nchini kuanzia darasa la 1 hadi kidato cha nne zimepewa waraka wa kupigwa marufuku kuchangisha wanafunzi michango ya aina yoyote ile. Mwanao akikuomba hela ya mchango kuanzia sasa ujue anataka kukuingiza mjini tu.

#HapaKaziTu
 
umeniwahi mkuu huyu mtu alipi kodi ila sijawahi kuona mtu yoyote, gazeti lolote linandika ufisadi wa rg kwenye migodi ya tanzanite
Unajua watu wasicho jua ni kwamba kutaja tuu majina hakuwezi kuwa ni ushahidi wa mtu kutolipa kodi! Watu wanatakiwa kuwa na ushahidi na wanayo yasema na kama mtu ana ushahidi aweke hapa tuuone!
Mh Rais kamwe hatomuonea mtu ambaye hana hatia!
Thread inaweza kuwa ya kitoto kama watu wataendekeza kutaja majina tuu ya watu kwakuwa wana wajua wanapesa na wafanya biashara!
Kuliko kumsema mtu kuwa halipi kodi kama huna ushahidi wala maelezo ni vyema kuomba serikali ijiridhishe na ulipaji wake kodi!

Rostam aziz

Maji Mengi

Hivi sasa kila mtu anajifanya mtu wa intelijensia.
 
Huko sasa ni kulialia... weka kila ulijualo hadharani japo hao wapuuzi watajihami tu kwa kuja na vijituhuma uchwara kwamba hata Mjomba Prezdent ashawahi nufaika na masurufu ya NHC enzi zile!
Sahz hatuwasikilizi, lazima RUNGU liwashukie.
HAPA KAZI TU...
 
Ngoja tuone kama ataigusa.........maana nadhani anaifahamu sawasawa..........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom