Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Wewe usimsababishie Kimei matatizo... Baraza la Mawaziri halijatangazwa mpaka leo, watu aliowaamini kabisa akipitia records/mafaili yao anakuta ni majipu yanayohitaji tumbuliwa.

Muacheni Raisi aongozwe na Mungu.
 
Huu Ni ushauri wangu kwa kasi yako ya kiuongozi Dr kimei atakufaa kwani Ni msomi aliyebobea katika masuala ya uchumi na fedha,mbunifu na mchapakazi anaweza kupanga mikakati uchumi WA nchi ukapaa.vilevile sio mwanasiasi ni mtendaji .

usituletee kichefuchefu hapa
 
Hafai kabisa huyo Kimei. Yeye ndiye aliyekuwa anaratibu mkakati wa wafanyabiashara na taasisi za fedha kumhujumu Magufuli wakati wa kampeni. Kimei ni mkabila sana. Kimei aliona kuwa Lowasa ndiye Rais na akafanya kila jitihada kumhujumu Magufuli. Ilifikia hatua alichangisha kwa nguvu wafanyakazi wa CRDB fedha kwa ajili ya kampeni za Lowasa. Huyu mtu hafai kabisa na wala hastahili hata kufikiriwa
Acha ushoga wako wewe punga
 
Huyo jamaa ni kimeo
 
Na wale Wafanyabiashara waliochangia kampeni za CCM nao?uchaguzi ushaisha sasa kilichobaki ni kuunganisha nguvu kuijenga nchi yetu.Dr Kimei kumuunga mkono Lowassa hakumuondolei sifa ya kuhudumu kama Waziri,kama anakidhi vigezo na achaguliwe tu.Hata Marekani Obama alimchagua Hillary Clinton kama Secretary of States licha ya kwamba alikuwa hasimu wake mkubwa wa kisiasa. Pia aliwachagua Republicans watatu ktk cabinet yake,unfortunately we Africans have turned politics into hostility. I wish you could learn about the diversity accommodation and the role it plays in bolstering the organisation's activities in this modern day world we living in.

Umeandika kungereza kizr an mpk ninetmani ungekuwa ndg yangu
Tatzo wabongo ukiwa upinzani unakuwa adui Na adhabu yako ni kufanya kama vile Mawazo
 
Hafai kabisa huyo Kimei. Yeye ndiye aliyekuwa anaratibu mkakati wa wafanyabiashara na taasisi za fedha kumhujumu Magufuli wakati wa kampeni. Kimei ni mkabila sana. Kimei aliona kuwa Lowasa ndiye Rais na akafanya kila jitihada kumhujumu Magufuli. Ilifikia hatua alichangisha kwa nguvu wafanyakazi wa CRDB fedha kwa ajili ya kampeni za Lowasa. Huyu mtu hafai kabisa na wala hastahili hata kufikiriwa

Lizaboni we ni sawa na kinyesi maana hupendi kusikia mtu anampenda lowasa sasa kama msingeiba mngesoma namba.hizo hela alizochangisha wafanyakazi una uthibitisho? afterall we mburura mchango wa mfanyakazi ungesaidia kiasi gani ktkt kampeni kama sio uongo mtukufu nyamaafu mkubwa
 
Kimei huyu huyu anayeajiri watu CRDB kwa ubaguzi wa kabila, ukiwa mchaga CRDB ndio una uwezekano mkubwa wa kuajiriwa ata kama ambaye siye mchaga amekudhidi vigezo. Sipendi watu wakabila na wadini ata kama ni wa kwetu kwani hivyo ni vyanzo vya migogoro na matabaka. Kimei hafai kabisa labda aongoze umoja wa wac...
.ga
 
Na wale Wafanyabiashara waliochangia kampeni za CCM nao?uchaguzi ushaisha sasa kilichobaki ni kuunganisha nguvu kuijenga nchi yetu.Dr Kimei kumuunga mkono Lowassa hakumuondolei sifa ya kuhudumu kama Waziri,kama anakidhi vigezo na achaguliwe tu.Hata Marekani Obama alimchagua Hillary Clinton kama Secretary of States licha ya kwamba alikuwa hasimu wake mkubwa wa kisiasa. Pia aliwachagua Republicans watatu ktk cabinet yake,unfortunately we Africans have turned politics into hostility. I wish you could learn about the diversity accommodation and the role it plays in bolstering the organisation's activities in this modern day world we living in.

Tupilia mbali swala la yeye kumuunga mkono Lowassa, hata vigezo vya kuwa ndani ya serikali ya JPM hana, sijui wewe unamfahamu vipi huyu bwana,au unadhani kila mtu mwenye PhD anafaa kuwa kiongozi Wa umma?
 
kimei hafai tena anatakiwa kuondoka crdb apishe watendaji wengine isitoshe sioni sababu ya kumpendekezea rais majina leo ni siku ya 27 bado hatujaona mapungufu yoyote kuhusu mawaziri kutochaguliwa naamini rais ana watu wenye uweledi mkubwa wa kufanya kazi

hakuna mwenye jeuri ya kumuondoa zaidi wa wazungu waliomuamini wakamkabidhi benk yao,au kwa akili yako unadhani kimei ni mteule wa rais, la hasha hakubebwa yule bali wazungu walimuona anatenda vizuri wakampa na maeipaisha ile benk hadi wazungu wameona wamuache apige mzigo
 
Huyo ni mkabila sana.angalia alivyorundika wachaga wenzio crdb.
 
hakuna mwenye jeuri ya kumuondoa zaidi wa wazungu waliomuamini wakamkabidhi benk yao,au kwa akili yako unadhani kimei ni mteule wa rais, la hasha hakubebwa yule bali wazungu walimuona anatenda vizuri wakampa na maeipaisha ile benk hadi wazungu wameona wamuache apige mzigo

pamoja na kumsifia hatumtaki kama bora mpe mtoto wako amuoe
 
Hafai kabisa huyo Kimei. Yeye ndiye aliyekuwa anaratibu mkakati wa wafanyabiashara na taasisi za fedha kumhujumu Magufuli wakati wa kampeni. Kimei ni mkabila sana. Kimei aliona kuwa Lowasa ndiye Rais na akafanya kila jitihada kumhujumu Magufuli. Ilifikia hatua alichangisha kwa nguvu wafanyakazi wa CRDB fedha kwa ajili ya kampeni za Lowasa. Huyu mtu hafai kabisa na wala hastahili hata kufikiriwa

SIO WAKATI WAKE!,MAGJFULI NA LOWASSA WANAKUNYWA BAA MOJA,TOFAUTISHA WAKATI WA KAMPENI NA WAKATI HUU,WAKATI WA KAMPENI KILA MTU ALIKUWA UPANDE FULANI/ ITS OVER!
C.KIMEI,NI SAFI NA ANAFAA.
ii
 
Bila shaka Dr kimei alichofanya CRDB kufanya Bank Giant hapa nchini na kutia jambajamba hata bank za kigeni hata kwenye kulipa mshahara Dr Kimei ni bonge la CEO akipewa nafasi Tutatoboa

Sasa hivi ni zamu ya kanda ya ziwa! Kaskazini mlishanufaika sana na keki ya taifa sasa kaeni pembeni kwanza!
 
Tupilia mbali swala la yeye kumuunga mkono Lowassa, hata vigezo vya kuwa ndani ya serikali ya JPM hana, sijui wewe unamfahamu vipi huyu bwana,au unadhani kila mtu mwenye PhD anafaa kuwa kiongozi Wa umma?

Ndio maana nikasema 'kama anakidhi vigezo na achaguliwe tu' tribal and religious blindness included.
 
Huyu hafai hafai kabisa. Hata kwao huku Kilimanjaro hatumtaki kakwapua fedha za crdb.bila aibu hapa kajenga majumba magorofa na kanisa la gorofa kwa sababu ya roho yake mbaya hakai mtu yeyote wala hakuna anaye sali hapa...huyu kimei ni tatizo. Hatufai hata kidogo.
 
Huu Ni ushauri wangu kwa kasi yako ya kiuongozi Dr kimei atakufaa kwani Ni msomi aliyebobea katika masuala ya uchumi na fedha,mbunifu na mchapakazi anaweza kupanga mikakati uchumi WA nchi ukapaa.vilevile sio mwanasiasi ni mtendaji .

Nani kakwambia anafaa wala asithubutu
 
Huu Ni ushauri wangu kwa kasi yako ya kiuongozi Dr kimei atakufaa kwani Ni msomi aliyebobea katika masuala ya uchumi na fedha,mbunifu na mchapakazi anaweza kupanga mikakati uchumi WA nchi ukapaa.vilevile sio mwanasiasi ni mtendaji .

Dr. Kimei ni CEO wa a giant bank hapa nchini, anavuta super salary ya 100 milion plus!, wakati Dr. Magufuli ni mjamaa na mbana matumizi, jee ataweza kumlipa Dr. Kimei?!. Yaani umtoe mtu kwenye neema, umtupe kwenye dhiki?!.

Pasco
 
kimei hafai tena anatakiwa kuondoka crdb apishe watendaji wengine isitoshe sioni sababu ya kumpendekezea rais majina leo ni siku ya 27 bado hatujaona mapungufu yoyote kuhusu mawaziri kutochaguliwa naamini rais ana watu wenye uweledi mkubwa wa kufanya kazi

RECORD MATTERS..!!
UNAYEMCHAGUA AMEWAHI KULETA UFANISI KTK LIPI?,AMBALO NI LA PUBLIC?/ TUNAWEZA CHAGUA MTU TU,ALIYESTAWISHA FAMILIA YAKE HAKAWA HAWEZI KUSTAWISHA GENERAL PUBLIC....!!
ii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom