chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Hahahaaa hizo zinaitwa mbio za sakafuni ......... Mwisho wake ndo huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa unatumbua majipu kwa mafisadi hata unawapeleka mahakamani.Lakini watanzania wengine wanakosa gani mpaka kupunguza mzunguko wa pesa na kuwafanya waishi maisha magumu mitaani?Kwanini usifanye mambo kwa uwiano uliosawa.Unatumbua majipu, unabana matumizi yasiyo na lazima hiyo ni sawa, lakini pia mzunguko wa pesa unatakiwa uwepo ili maisha yaendelee.Mh.Raisi Tafadhali liangilie hili kwa umakini mkubwa vinginevyo utaanza kuzalisha Diasporas.
Sawa unatumbua majipu kwa mafisadi hata unawapeleka mahakamani.Lakini watanzania wengine wanakosa gani mpaka kupunguza mzunguko wa pesa na kuwafanya waishi maisha magumu mitaani?Kwanini usifanye mambo kwa uwiano uliosawa.Unatumbua majipu, unabana matumizi yasiyo na lazima, lakini pia mzunguko wa pesa unatakiwa uwepo ili maisha yaendelee!
Nashukuru mkuu kwa kuliona hilo, maana hali si nzuri kwetu huku wa hali ya kawaida, ....... basi ajaribu kulipa hawa wanaoidai serikali!
Fanya kazi kwa bidii pesa ipo. Usitarajie kufanya kazi kwa kiwango ulichokizoea na ukaendelea kupata pesa uliyoizoea. Ili upate pesa ni lazima ufanye kazi haswa, na hapa ndipo maendeleo yanapotokea. No more free money, thamani ya pesa unayoipata ni lazima ionekane bwana Jackal. Usiwe na hofu lakini, muda si mrefu utazoea na utajifunza kufanya kazi kwa juhudi kubwa na maarifa ili uweze kupata pesa.
Ulimwelewa lakini Rais? Alisema kuwa licha ya mkuu wa mkoa kufahamishwa kuwa kuna watumishi hewa baada ya uhakiki uliofanywa tena, RC hakuwachukulia hatua walio chini yake ambao walimdanganya. Akasubiri Rais ndo achukue hatua. Matokeo yake kachukuliwa yeye. Uzembe wake ndio umemponza Anne KilangoJana kwenye taarifa ya habari ya saa mbii usiku kulikuwa na taarifa ya habari kuhusu kutenguliwa kwa nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mama Anne Kilango Malecela. Pengine uamuzi wako hukuifanyia tafakari kubwa juu ya suala hili. Wewe huwa unasema msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mimi binafsi NAKUSHAURI umrejeshee Mhe. Mkuu wa Mkoa cheo chake. Kazi ya Ukuu wa Mkoa ni cheo cha kisiasa siyo ya utendaji. Mhe.Mkuu wa Mkoa anapelekewa taarifa na Katibu Tawala wa Mkoa.Waliotakiwa kuwajibishwa hapa ni Katibu Tawala wa Mkoa, Wakurugenzi Watendaji na Maafisa Utumishi wa Hlmashauri husika. Ninayekushauri hujui umri wangu lakini tumeona mengi na tumepitia kwenye uongozi wa Serikali. Narudia tena mrejeshee Mhe. Anne Kilango Malecela wadhifa wake. Wewe ni Rais unaweza kufanya masahihisho wakati wowote na hakuna wa kukuhoji. Mungu akubariki sana.
Mkuu basi bwana inatosha mbona hivyoo kwani unaugomvi na nani mpaka yakutoke yote hayoMh Magufuli mimi ni mwananchi wa kawaida ila kupia hapa nadhani ujumbe utakufikia baba rais. Tumbua majipu mpaka vipele vyote wizara ya fedha, Hazina na wahasibu wote,kuna watu waliokufa mpaka leo wapo kwenye payroll, mishahara hewa kibao.
Pia yale mafungu ya stahili za wakurugenzi pitia na malipo yote ya kwenye mawizara nina uhakika utatumbua majipu mpaka utalia mwenyewe kuna watu walioshindikana huko maserikalini wanakula pesa zako kama haupo kabisa mh rais wanacheza na system tu wanajipatia pesa kiulani baba wakati huku wananchi tunahenyeka na maisha magumu.
Kama hamna hela pelekeni watoto wenu shule za serikali,siyo mnapeleka private then mnaanza kulialia stupidKuna jambo limenitatiza, nimekutana na kisa ambacho kimsingi kimenishangaza na sielewi usahihi wake, mwanzoni wa utawala wa JPM tuliahidiwa kupunguziwa ada kwa shule binafsi kwa maana ya serikali kutoa bei ya ADA ELEKEZI ambazo shule binafsi zinatakiwa kutoza wazazi au wanafunzi, kwa mshangao nimepewa taarifa kuwa mwanangu kasimamishwa masomo kwa sababu mzazi anatakiwa alipe gharama ya kuagiza walimu toka Uganda!!!!🙁🙁 jukumu ambalo ni la mmiliki wa shule husika hebu nisaidieni mchango wa mawazo ndugu zangu