mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Alipiga pushup#2020 sjui ataruka kifrogfrog auWana JF naomba niwasilishe amri hii kama ujumbe kwa Magufuli, hili sio ombi kutoka kwetu sisi, mwaka 2020 hatutahitaji aje atushawishi au kutueleza nani tumpigie kura awe Rais, Mbunge au Diwani maana mchezo huu ameuanzisha mwenyewe na kwakuwa hataki kusikiliza hisia zetu tulio mfikisha hapo alipo sasa tumesimama na kusema kuwa asije kutuelekeza wala kutushawishi nani wa kumpigia kura maana akija tu basi atakuwa amekosea na atakuwa ameharibu aache tu tunajua wenyewe jinsi ya kujiamulia maana hatuhitaji atuletee hisia zake na ushawishi wake maana si yeye anayetuletea chakula na nguo, asituelekeze wapi pa kupigia kura tutapajua wenyewe tuna akili timamu.
2020 ni mwendo wa kukaziana tu
Ova