Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Vile CCM wanavyojenga nchi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baada ya kufuatilia kwa muda uzi huu inaonekana mpaka sasa hakuna hata mchangiaji mmoja aliyetoa hoja za maana za kumchukia magufuli, hali hii inaonyesha kuwa aidha wanaomchukia ni wachache au hakuna hoja za msingi za kuwafanya watu wamchukie JPM. hvyo inaonekana aliyeleta uzi huu jamvini ni mzandiki anayetaka kuwachonganisha wanajamvi na Rais wetu mpendwa,Mwaga nyongo zako zote hapa,matapishi,kuhara,jasho,povu la mswaki,makamasi na kila kitu hapa.
Niko tayari kukusaidia
Ni wewe pekee na wenzako wasiopenda maendeleo ndio msiompenda, kwani kila anchokifanya ni katika kujenga misingi ya maendeleo yenye faida kwa watanzania wote,Mwaga nyongo zako zote hapa,matapishi,kuhara,jasho,povu la mswaki,makamasi na kila kitu hapa.
Niko tayari kukusaidia
Kaka Hongera sana. Hesabu zako zilikuwa Kali!Jiwe kazuia ajira za walimu ,dadeki mi nlitumia hela yangu kwenda kusoma PGDE ili nikimaliza niingie kwenye system nikope hela niachane na kazi deni angelipa mkurugenzi huyu jiwe na roho mbaya yake katupiga Ban ,now nimeamua kuvunja kokoto tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi.namchukiaHuu uzi haufai kuishi. Kumkosoa mtu sio kumchukia.
Mwaga nyongo zako zote hapa,matapishi,kuhara,jasho,povu la mswaki,makamasi na kila kitu hapa.
Niko tayari kukusaidia
Mi naombea afe hata sasa.
Sijawahi kuchukia sirikali yangu kama awamu hii
Ni wewe pekee na wenzako wasiopenda maendeleo ndio msiompenda, kwani kila anchokifanya ni katika kujenga misingi ya maendeleo yenye faida kwa watanzania wote,
Wakorinto wana roho mbaya sana !Mwaga nyongo zako zote hapa,matapishi,kuhara,jasho,povu la mswaki,makamasi na kila kitu hapa.
Niko tayari kukusaidia