Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Vile CCM wanavyojenga nchi!
Dy5zGGWWkAAcRGw-1.jpeg
 
Masilingi anajibu hoja za lissu kama nani, yeye yupo marekani anajuaje namna tukio lilivyotekea kama sio kulishwa matango poli, interview anazoitwa hawabani kisawa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaga nyongo zako zote hapa,matapishi,kuhara,jasho,povu la mswaki,makamasi na kila kitu hapa.

Niko tayari kukusaidia
baada ya kufuatilia kwa muda uzi huu inaonekana mpaka sasa hakuna hata mchangiaji mmoja aliyetoa hoja za maana za kumchukia magufuli, hali hii inaonyesha kuwa aidha wanaomchukia ni wachache au hakuna hoja za msingi za kuwafanya watu wamchukie JPM. hvyo inaonekana aliyeleta uzi huu jamvini ni mzandiki anayetaka kuwachonganisha wanajamvi na Rais wetu mpendwa,
 
Mwaga nyongo zako zote hapa,matapishi,kuhara,jasho,povu la mswaki,makamasi na kila kitu hapa.

Niko tayari kukusaidia
Ni wewe pekee na wenzako wasiopenda maendeleo ndio msiompenda, kwani kila anchokifanya ni katika kujenga misingi ya maendeleo yenye faida kwa watanzania wote,
 
Ni wewe pekee na wenzako wasiopenda maendeleo ndio msiompenda, kwani kila anchokifanya ni katika kujenga misingi ya maendeleo yenye faida kwa watanzania wote,

Mkuu watu hawanpendi sababu yeye ni magu,sijui umenielewa lakini??au sababu yeye ni msukuma.si vinginevyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom