Maoni: Watu Kumi wenye nguvu zaidi Tanzania kwa sasa (Ten most powerfull people)

Ainisha vigezo ulivo vitumia kwenye kuwapata hao most powerful pipo kwa tz hii
 
Namuona mzee wa sf group umemweka kwenye listi hivi bado ni mbunge wa kibaha mjini sijamsikia kitambo jirani huyu
 
Agenda ilikua nikupamba watu wa ccm ila ukaona Mbowe umuungize hapo, hujataja ni katika ushawishi upi wa kiuchumi au kisiasa,

Ila all in all malengo yako unajua mwenyewe,


List yako imekaa kichawa
Kwa ushawishi wa kisiasa tz kwa sasa

1.john heche
2 . Lissu
3. Mbowe
4. Lema
5. Msigwa
6. Sugu
7. SSH UYU ANABEBWA NA KITI AMEKALIA
8. Mtaka ndo hivyo hapendwi na wenye viti vyao ila hii mashine inahitaji kuwa branded kidogo tu
 

Mkuchika how??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…