Awiaman ooza
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 512
- 866
Ndo sasha huyu auHivi ninyi mnaelewa
SASHA
MAJALIWA
JAKAYA
hawa ndo watatu ukinibishia ni wewe Ila Nina Maana kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo sasha huyu auHivi ninyi mnaelewa
SASHA
MAJALIWA
JAKAYA
hawa ndo watatu ukinibishia ni wewe Ila Nina Maana kubwa
Kila mtu anakuja na majina yake tu ila hakikisha la kwanza Ni raisi wa nchiHivi ninyi mnaelewa
SASHA
MAJALIWA
JAKAYA
hawa ndo watatu ukinibishia ni wewe Ila Nina Maana kubwa
Pia habari za masikini.. muulize masikiniHabari za tajiri muulize maskini
Yule hamna kitu, bora hata majaliwa!.Ina maana VP MPANGO hayupo????
Huyo waziri anaodolewa muda wowote tu, kazi yake ni ku connect jeshi na serikali kuu, alikuwepo Tax kabla yakeHujui kama Waziri wa Ulinzi ndiye Rais mwingine wa mipaka ya Nchi yako?
Kwa nini aondolewe? Kwa sababu katajwa humu kama mtu mwenye nguvu?Huyo waziri anaodolewa muda wowote tu, kazi yake ni ku connect jeshi na serikali kuu, alikuwepo Tax kabla yake
Kwani yeye ndio wa kwanza kuondolewa? Hivi unajua awamu hii pekee mawaziri 3 weshateuliwa na kutenguliwa hiyo wizaraKwa nini aondolewe? Kwa sababu katajwa humu kama mtu mwenye nguvu?
Labda baada ya mabadiliko yatakayokuja kutokea baada ya uchaguzi wa 2025; siyo sasa!Kwani yeye ndio wa kwanza kuondolewa? Hivi unajua awamu hii pekee mawaziri 3 weshateuliwa na kutenguliwa hiyo wizara
Daaah hivi mkuu una miaka mingapi samahani kwa kuuliza lknI will be the next among them
Agenda ilikua nikupamba watu wa ccm ila ukaona Mbowe umuungize hapo, hujataja ni katika ushawishi upi wa kiuchumi au kisiasa,Habari,
Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana.
1. H.E Samia Hassan
2. Jakaya Kikwete
3. Abrahaman Kinana
4. Hussein Mwinyi
5. January Makamba
6. Freeman Mbowe
7. Mwigulu Nchemba
8. Ridhwan Kikwete
9. Innocent Bashungwa
10. Nape Nnauye.
Bonus
1. Rostam Aziz
2. Sylivester Koka
3. SS Bakheresa
Kwa ground hizo ndio machinery zenye nguvu Tanzania kwa kipindi hiki..
This is so just you know, don't mess with any.
Habari,
Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana.
1. H.E Samia Hassan
2. Jakaya Kikwete
3. Abrahaman Kinana
4. Hussein Mwinyi
5. January Makamba
6. Freeman Mbowe
7. Mwigulu Nchemba
8. Ridhwan Kikwete
9. Innocent Bashungwa
10. Nape Nnauye.
Bonus
1. Rostam Aziz
2. Sylivester Koka
3. SS Bakheresa
.....
Extra..
1. Yuda Thadei Ruwaichi
2.George Mkuchika
3.George Simbachawene
4.Abubakar Zuber
5.Fedrick Shoo
6.Zitto Kabwe.
Kwa ground hizo ndio machinery zenye nguvu Tanzania kwa kipindi hiki..
This is so just you know, don't mess with any.
Mkuchika holds the position for over 40 years now, I don't think he can be ignored on any matter affecting the state in one way or another.
Waziri wa nchi office ya Rais mkuu