Maoni: Watu Kumi wenye nguvu zaidi Tanzania kwa sasa (Ten most powerfull people)

Ukimuacha hussein mwinyi kwa hiyo orodha ya kwanza wote ni muelekeo wa upigaji. Uso wao ni nape nauye. Yeye ana guts za kumkejeli magufuli na kuonesha kiburi na jeuri kwa niaba yao.
 
Lissu ana ushawishi zaidi ya Ridhiwani, January na Bashungwa combined. When he talks haijalishi ameongea kitu gani, it makes headlines.
Kumuacha Majaliwa kumuweka Ridhiwani it's kinda crazy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…