johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uzi wa swaumu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimuacha hussein mwinyi kwa hiyo orodha ya kwanza wote ni muelekeo wa upigaji. Uso wao ni nape nauye. Yeye ana guts za kumkejeli magufuli na kuonesha kiburi na jeuri kwa niaba yao.Habari,
Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana.
1. H.E Samia Hassan
2. Jakaya Kikwete
3. Abrahaman Kinana
4. Hussein Mwinyi
5. January Makamba
6. Freeman Mbowe
7. Mwigulu Nchemba
8. Ridhwan Kikwete
9. Innocent Bashungwa
10. Nape Nnauye.
Bonus
1. Rostam Aziz
2. Sylivester Koka
3. SS Bakheresa
.....
Extra..
1. Yuda Thadei Ruwaichi
2.George Mkuchika
3.George Simbachawene
4.Abubakar Zuber
5.Fedrick Shoo
6.Zitto Kabwe.
Kwa ground hizo ndio machinery zenye nguvu Tanzania kwa kipindi hiki..
This is so just you know, don't mess
Itoshe kusema unanizaa darasa la 5 nilikuwa 2014 🙄🙄🙄😅😅Vita cya ujuhumu uchumi mwaka 1984 nilikuwa darasa la tano mkuu
Hahaha nothing is permanent mkuuuVipi yule majaliwa aliyefungua mlango wa ndege ndani ya maji. Mbona watu wasahaulifu hivyo?
And northing is temporary kwahiyo namimi najiandaa kuwa maarufu. Au vipi mkuuHahaha nothing is permanent mkuuu
Labda kwa kuwa hao(just my thoughts) wana ushawishi ndani ya chama chao.Huyo January na Nape wanamshawishi nani hapo?
Ongeza MadongaLabda kwa kuwa hao(just my thoughts) wana ushawishi ndani ya chama chao.
Lissu ana ushawishi zaidi ya Ridhiwani, January na Bashungwa combined. When he talks haijalishi ameongea kitu gani, it makes headlines.Habari,
Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana.
1. H.E Samia Hassan
2. Jakaya Kikwete
3. Abrahaman Kinana
4. Hussein Mwinyi
5. January Makamba
6. Freeman Mbowe
7. Mwigulu Nchemba
8. Ridhwan Kikwete
9. Innocent Bashungwa
10. Nape Nnauye.
Bonus
1. Rostam Aziz
2. Sylivester Koka
3. SS Bakheresa
.....
Extra..
1. Yuda Thadei Ruwaichi
2.George Mkuchika
3.George Simbachawene
4.Abubakar Zuber
5.Fedrick Shoo
6.Zitto Kabwe.
Kwa ground hizo ndio machinery zenye nguvu Tanzania kwa kipindi hiki..
This is so just you know, don't mess with any.
SamiaSasha ni nani kwanj
SASHA ndiyo raisi wa nchi.Kila mtu anakuja na majina yake tu ila hakikisha la kwanza Ni raisi wa nchi
"They said and so they become"I will be the next among them
Kumbe dogo sana tu.Vita ya ujuhumu uchumi mwaka 1984 nilikuwa darasa la tano mkuu
Nape ana ushawishi mkubwa ndani ya chama chake nadhani hiyo ndiyo inampa confidence.Ukimuacha hussein mwinyi kwa hiyo orodha ya kwanza wote ni muelekeo wa upigaji. Uso wao ni nape nauye. Yeye ana guts za kumkejeli magufuli na kuonesha kiburi na jeuri kwa niaba yao.
Anakuzaa wewe na dingi yakoItoshe kusema unanizaa darasa la 5 nilikuwa 2014 [emoji849][emoji849][emoji849][emoji28][emoji28]
Wont forget you when the rippen time is due...!"They said and so they become"
-This quote is from the bible.
I wish you all the best.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe dogo sana tu.
On itAnd northing is temporary kwahiyo namimi najiandaa kuwa maarufu. Au vipi mkuu