Uchaguzi 2020 Maoni ya Jeffery Smith juu ya Uchaguzi wa Tanzania 2020


Anatafuta unga wa mahindi na anadhani ataeleweka
 
Ndio maana Arsenal ushindi tunaupata kwa tabu sana, kumbe we mchizi CCM?!
 
Naunga mkono hoja
 
Hata mkoloni alisema hivyo kuwa hatutaweza kujiendesha.Mkuu wewe ni mtu unaetupanua mawazo, kwa nini wapinzani wasiweze?Hii inanipa hofu kuwa na wewe hauko conscious juu ya utofauti wa chama na serikali.
Kwani CCM wakitoka public servants wanaacha majukumu?Private sector inaacha majukumu instantly? Kama majibu ni hapana, basi upinzani unaweza hii shughuli tena vizuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…