Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Rafiki yake Lisu huyo.Tukio la hivi karibuni la KUUWAWA kwa George kwa ubaguzi wa rangi kule Marekani mbona alikaa kimya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki yake Lisu huyo.Tukio la hivi karibuni la KUUWAWA kwa George kwa ubaguzi wa rangi kule Marekani mbona alikaa kimya?
Wapizani ni watz na wanasifa sawa na CCM navwanawwza sanaupo sahihi mkuu.
hata wakoloni na wapiga debe wao nao pia walikuwa wakisema hivi hivi dhidi ya Mwalimu Nyerere enzi za kupigania Uhuru wa Tanganyika.
ni historia inajirudia.
P hivi uwanja wa kisiasa kwa wapinzani upo sawa na chama tawala Tanzania?Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.
Kwa uchaguzi huu wa 2020, japo ni mchungu kumeza ila ndio ukweli wenyewe
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P
Tatizo chadema mna fikra za kitumwa mnakomaa na Jambo ambalo kasema mzungu Kama vile ninyi hamna mawazo yenu. Akisema mzungu basi huko ufipa Fc inakuwa habari ya kweli na mnafarijika Sanaa. Mwenzenu Lissu kaamu kuuamia kabisa. Mkipewa nchi mtatuletea matatizo Sana na hao wazungu mnaowaabudu.Hata Gavana wa Uingereza hakuamini kama Mwalimu Nyerere na TANU wanaweza kuiongoza Tanganyika. Matokeo yake umeyaona mwenyewe.
Unawezaje kumhukumu mtu kuwa hawezi wakati hapewi nafasi?
Jeska nitakuwa nae,hata husika na hicho kilio.Hivi magu mbona analazimisha watu wasahau hata yale mazuri aliyoyafanya? Hivi anajua kuwa mwelekeo ni kuwa ataondolewa vibaya kwenye hicho kiti kwa hii tabia inayo lazimishwa na wapambe wake ambao moto ukiwaka watamkana kuwa alikuwa haambiliki?
Yeye kama anaendesha mambo mpaka "atajisikiaje atakapoamka" halafu kina Pascal Mayalla wanamsifia kuwa hakuna kama yeye basi shauri yake. Kuna siku kilio kitakuwa chake pekee na wanae kina Jeska hao kina Pascal wakigongeana glass za whiskey!
Makachero uchwara wa tiss mmechemka Kwa KIGOGO 2014 anawapindua atakavyo nyie ni misukule Tu Kwenye mambo ya ukacheroSisi sisiem ndio Top Lecturers wa makachero, umeelewa, so hayo maneno yako ya kujitia moyo waambie wengine sio CCM.
Unaanisha magoliTukio la hivi karibuni la KUUWAWA kwa George kwa ubaguzi wa rangi kule Marekani mbona alikaa kimya?
Uzeni sera zenu badala ya majungu. Dkt Magufuli ndiyo habari ya mujini na vijijini, kama mnaona vipi mumufuate shangazi (nasikia mabeberu wamempatia mzigo kwao ulaya) au mumufuate Lisu au yule binti mtoa habari za magonjwa ya mlipukoHuu ni ukweli ulio wazi kabisa
Huyu anajitahidi homeboy amsikie. Na sasa mayala (njaa) inauma kweli kweli na hiki kipindi ni mhula wa mwisho, asipokumbukwa atakufaHata Gavana wa Uingereza hakuamini kama Mwalimu Nyerere na TANU wanaweza kuiongoza Tanganyika. Matokeo yake umeyaona mwenyewe.
Unawezaje kumhukumu mtu kuwa hawezi wakati hapewi nafasi?
Nanyinyi mnajipendekeza kwa nani??Huyu anajitahidi homeboy amsikie. Na sasa mayala (njaa) inauma kweli kweli na hiki kipindi ni mhula wa mwisho, asipokumbukwa atakufa
Sisi na nani? Kwani hiyo post imeandikwa na watu wangapi? Uliza mimi. Mimi sijipendekezi, naishi maisha yangu na sitarajii katika maisha yangu kushikiwa akili kama wewe na akina mayala. Tumia nguvu na akili yako na kumtegemea Mwenyezi Mungu, uwe huru. Mtaliwa ndogo. Shauri yenu.Nanyinyi mnajipendekeza kwa nani??
Mungu unayemtegemea humwamini basi,kama kutwa kucha ni povu namna hii.unaamini katika nguvu zako mwenyewe.Sisi na nani? Kwani hiyo post imeandikwa na watu wangapi? Uliza mimi. Mimi sijipendekezi, naishi maisha yangu na sitarajii katika maisha yangu kushikiwa akili kama wewe na akina mayala. Tumia nguvu na akili yako na kumtegemea Mwenyezi Mungu, uwe huru. Mtaliwa ndogo. Shauri yenu.
Leading a country like Tanzania, you don't need to be serious as you claim. Unahitaji mamlaka ya kidola tu kufanya wanayo fanya. Mzee Mayala amini nakwambia hata wewe ukiwa na nguvu hizo unaweza hata kuwazidi.Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.
Kwa uchaguzi huu wa 2020, japo ni mchungu kumeza ila ndio ukweli wenyewe
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.
Mataga vipi mbona umepanic?Uzeni sera zenu badala ya majungu. Dkt Magufuli ndiyo habari ya mujini na vijijini, kama mnaona vipi mumufuate shangazi (nasikia mabeberu wamempatia mzigo kwao ulaya) au mumufuate Lisu au yule binti mtoa habari za magonjwa ya mlipuko
Haijawahi tokea uchaguzi mnono wenye ushindi dhahiri kama huu wa 2020. CCM ni raha tupu.Mataga vipi mbona umepanic?
Kama ni raha mbona mataga umepanic?Haijawahi tokea uchaguzi mnono wenye ushindi dhahiri kama huu wa 2020. CCM ni raha tupu.
Dkt Magufuli anatupa raha mno.Kama ni raha mbona mataga umepanic?
Mataga tulia sindano ikuingie.Dkt Magufuli anatupa raha mno.