Wanajidanganya tu, wangejua upinzani Tanzania hata Ngazi ya mashina hawana ,hawajui hata wana mtaji wa wapiga kura wangapi ,
Ccm wanaweza kukuambia wana mtaji wa wapiga kura wangapi , kwa data zilizo rasmi , wana mtaji kuanzia ngazi ya mashina , hadi juu
Chadema na upinzani mwingine wanategemea Mikumbo tu ili kuokoteza kura .
Kwa Tanzania VYAMA vya upinzani ni makampuni ya watu binafsi ,
Hivi uliwahi kujiuliza kwanini waligomea uchaguzi wa Serikali za mitaa , lakini kuelekea uchaguz mkuu hawajagomea ?
Serikali za mitaa hazina faida kwa kikundi cha watu kama Mbowe, mdee,Zito , Sugu, Zina faida kwa vijana wanaochipukia kwenye Siasa .
Ila Uchaguzi mkuu kwao ni fursa ya kuongeza Ruzuku na kupata angalau ubunge , na sio kuchukua dola.
Sababu walizotumia kugomea Uchaguzi Serikali za mitaa je kwenye Uchaguzi mkuu zimerekebishwa?
Utagundua Tanzania hatuna Upinzani ,Bali tuna wasakatonge tu, na upinzani uchwara .