abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Watu Bana et watanzania wamesha mchoka chadema Bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeee akili za wasomi wa nchi hii wengi huwa zinanipa shida sana wakati mwingine mpaka najikuta naghairi kwenda kusoma degree yangu ya kwanza, nikuulize swali? Unafikiri wakati tunakabidhiwa nchi na wakoloni mwaka 1961, tulikuwa credible enough kuweza kukabidhiwa nchi? Au unaongea tu hutaki kufikirisha akili yako kureason?
[emoji38][emoji38][emoji38] tabu sanaAnatafuta unga wa mahindi na anadhani ataeleweka
Tukio la hivi karibuni la KUUWAWA kwa George kwa ubaguzi wa rangi kule Marekani mbona alikaa kimya?
Ndio maana Arsenal ushindi tunaupata kwa tabu sana, kumbe we mchizi CCM?!Wanajidanganya tu, wangejua upinzani Tanzania hata Ngazi ya mashina hawana ,hawajui hata wana mtaji wa wapiga kura wangapi ,
Ccm wanaweza kukuambia wana mtaji wa wapiga kura wangapi , kwa data zilizo rasmi , wana mtaji kuanzia ngazi ya mashina , hadi juu
Chadema na upinzani mwingine wanategemea Mikumbo tu ili kuokoteza kura .
Kwa Tanzania VYAMA vya upinzani ni makampuni ya watu binafsi ,
Hivi uliwahi kujiuliza kwanini waligomea uchaguzi wa Serikali za mitaa , lakini kuelekea uchaguz mkuu hawajagomea ?
Serikali za mitaa hazina faida kwa kikundi cha watu kama Mbowe, mdee,Zito , Sugu, Zina faida kwa vijana wanaochipukia kwenye Siasa .
Ila Uchaguzi mkuu kwao ni fursa ya kuongeza Ruzuku na kupata angalau ubunge , na sio kuchukua dola.
Sababu walizotumia kugomea Uchaguzi Serikali za mitaa je kwenye Uchaguzi mkuu zimerekebishwa?
Utagundua Tanzania hatuna Upinzani ,Bali tuna wasakatonge tu, na upinzani uchwara .
Naunga mkono hojaDuh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.
Kwa uchaguzi huu wa 2020, japo ni mchungu kumeza ila ndio ukweli wenyewe
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P
Hata mkoloni alisema hivyo kuwa hatutaweza kujiendesha.Mkuu wewe ni mtu unaetupanua mawazo, kwa nini wapinzani wasiweze?Hii inanipa hofu kuwa na wewe hauko conscious juu ya utofauti wa chama na serikali.Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.
Kwa uchaguzi huu wa 2020, japo ni mchungu kumeza ila ndio ukweli wenyewe
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P